regan morgan
Senior Member
- Feb 6, 2013
- 186
- 53
Nimegundua kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mpenz,rafiki na ndugu yako subiri apate pesa za kutosha. je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
Inategemea kila mtu na tabia
yake, wako wenye pesa na wana tabia nzuri na wanasaidia masikini, na
wako wenye pesa wana kuwa kama firauni, na wanadhulumu watu..Yani huwezi
kugundua nani ni nani mpaa uishi nao:biggrin:
Nimegundua kuwa
ukitaka kujua tabia halisi ya mpenz,rafiki na ndugu yako subiri apate
pesa za kutosha. je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
Hilo nalo nenoNacked ukweli.....
true masikini hana tabia.
mwanaume akipata pesa familia za nje zinaongezeka, ila mwanamke akipata pesa kila siku yeye anakuwa na vikao vya faragha na wafanyabiashara wenzake kama njia ya kupatia ruhusa,kumbe analea mtu nje ya ndoawanaume matapeli wa ndoa zao akipata pesa mama hashiki mfuko akiwa mtupu utasikia angalia kama kuna chochote
mwanaume akipata pesa familia za nje zinaongezeka, ila mwanamke akipata pesa kila siku yeye anakuwa na vikao vya faragha na wafanyabiashara wenzake kama njia ya kupatia ruhusa,kumbe analea mtu nje ya ndoa
Ni kweli kabisaaaaaaaaaaa!!!! pata pesa tujue Tabia yako.Pata pesa tuijue tabia yako!