Hiki ni kiini macho au nini?

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,563
2,126
Nimefika mlandege siku ya leo hii kuona maonyesho laliyo letwa siku ya mwenge nimekuta kichwa kinaongea kimewekwa juu ya sinia kwenye meza na imefanikiwa kwa jana na leo wale wa kuuliza maswali waneuliza,mimi kinywani mwangu nilikuwa siamini kwamba kinaongea lakini bado 2 ,nimefika pale na kuuliza hivi:
LUKA =za kazi!
KICHWA=salama
LUKA=mimi naitwa nani?
KICHWA=wewe unaitwa luka waifunda
luka=kwa nini huwa sipati hela?
kichwa =hilo ni suala la mtu binafsi njoo baadae ukiwa pekeyako
ivi kweli nimaonesho gani waliofika kwa leo IRINGA(mlandege ) tuelezee zaidi maana nimetoka na hii hapa"??"
 
Back
Top Bottom