Kaka umesahau kusema kwamba "upo na rafiki mzungu" [emoji23][emoji23]Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,
View attachment 916643
Vuta hicho kidude kimekaa kama ringi au bangili ukichomoe kabisa ndio utajua hilo ni embe dodo ama nini, but at your own risk
kuna sehemu umeambiwa mjinga mkuuKutokujua kitu hakukufanyi kuwa mjinga