Hiki ni kifaa gani?

Hiki ni kifaa gani?

Vuta hicho kidude kimekaa kama ringi au bangili ukichomoe kabisa ndio utajua hilo ni embe dodo ama nini, but at your own risk
Why mbona umeweka na warning kabisa mkuu unatutakia mema kweli
 
Hiyo ndiyo microchip, vuta hicho ki ring hiyo chip itaingia mwilini. Hakuna asiyejulikana kukugusa.
Aaah mkuu mkuu kwa maoni ya watu wengi yanaonyesha ni kama kitu cha hatari vile
 
Nenda nacho home......washa jiko la mkaa, hakikisha umekolea sawa sawa........then weka hicho kifaa kwenye huo moto kipashike.....ndani ya dakika kadhaa utakuwa umeshapata majibu......ila kumbuka kuacha wosia tafadhali.
Wosia tena mkuu wa kazi gani?
 
Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,



View attachment 916643
Hiyo ni chupa ya Red Wine iliyosindikwa enzi za mjerumani na siku zote mvinyo wa kale ni bora sana na aghalabu kuupata kwani hupewa wafalme tu, hongera vuta hiyo bangi-ili msherehekee.
 
Asee kumbe mkuu basi JF hatupendani ata kidogo asee
Google hand grenade mkuu.
Screenshot_20181031-081707.jpeg
 
Hiyo ni chupa ya Red Wine iliyosindikwa enzi za mjerumani na siku zote mvinyo wa kale ni bora sana na aghalabu kuupata kwani hupewa wafalme tu, hongera vuta hiyo bangi-ili msherehekee.
Aaah kweli we noma mkuu ulitaka tukate moto
 
Back
Top Bottom