Hiki ndo chakula cha jana

Hiki ndo chakula cha jana

Mkuu nimevaa miwani nina matatizo ya macho ila kwa mbali naona kuna mboga mbili za kulia wali..mboga ya majani ya kisamvu na harage au nimekosea mkuu?...

Ila siku hizi hapa mjini watu wamebadilika wanapendaga wakiwa wanakula chakula wanachanganya hizo mboga zote mbili... Mie kuna dada aliniita mshamba kuniona eti wakati ninakula msosi alionitengea nikila tu maharage na kisamvu nikikiacha.... So mwenyewe licha ya kujaribu kunibembeleza nionje pishi lake la kisamvu mie nikamkatalia katu katu
 
Sikujua kuwa wanao semaga wana kidney stone, kumbe wengine wanazuga...
Wengine wanazuga, mkojo unabana kuna sababu zinine zilichangia ila kwa kuwa wazee wengi hasa wanaume huwa wanatatizo ya mawe kwenye figo basi na wengine wanajumlishia humo humo tu, kulivyo tight kule lazima kuna vichembechembe vinaingia unless kama anakutana na wazoefu kila siku hasa ukizingatia chakula ile sidhani kama silaha za maangamizi wanatumia maana inaweza ikavuka kutokana na hali ya u-tight, labda MziziMkavu atatusaidia
 
Last edited by a moderator:

Soon huu mchezo utakuwa janga la Taifa. Nahisi manesi na madokta wanaona mengi sana.
 
Hilo ni janga maana kijana anaweza akao mrembo kumbe alikuwa ana practice hii kitu, mwisho wa siku wa siku amefikia hatua ya kujifungua kamanda anaangaliwa kwa jicho la kejeli pindi anapoenda hospital kumcheck wife na kachanga kumbe walio haribu mzigo wengine kabisa
 
Kuna jamaa iliwah mtokea hivi. Yey alioa mke aliekuwa anafanya hizi mambo, lakin mshkaji akamvumilia sana. Siku ya kujifungua, mimba ya kwanza binti alijifungulia kwao, mama mkwe ndo alikuwa anacheza show nzima kumhudumia mdada. Akapewa hizi info na manesi, maana na yeye alikuwa akifanya kazi hapo, akambiwa mwanao anaharibiwa.

Jamaa kuja kumuon binti, nyumban, mama mkwe jazba zikamoanda karusha manen sana. Ila after kugundua ukweli akawa mdgo sana
 
Mtu anajifungua inabidi wamsokomeze kipande cha kaka, wewe kunyanyua tu gunia la mkaa au kilo hamsini za cement ukijikamua sana nyuma kunafunguka na hapo ni mzima, je yeye ambae muscles zimelegea si ni balaa akianza kukamua
 
Back
Top Bottom