Mtani ya moto balaaa
Joto lake linaweza kuyeyusha chuma..??
Au liinafaa kwa matumizi ya kusuuza rungu tu...??
Mtani ya moto balaaa
Tusitiane hamu na kibaridi hiki mtani ujue
Basi huna budi kubadilisha matumizi kutoka kuwa kifanyio hadi kuwa tanuru la kuyeyushia vyuma ili ujiongezee kipato kwani watu wenye hivyo vipaji duniani ni wachache sana...........Kile kithermometer nilikiweka kujua ni nyuzi joto ngapi kikayeyuka
Basi huna budi kubadilisha matumizi kutoka kuwa kifanyio hadi kuwa tanuru la kuyeyushia vyuma ili ujiongezee kipato kwani watu wenye hivyo vipaji duniani ni wachache sana...........
Mmmmmmmhhhh nahisi nimekosea njia dah!!
Hujakosea njia upo pahala sahihi kabisa karibu twala
Kama kuna uwezekano uende ukaongeze mlango wa tanuru ili vyuma vikubwa viingie..........kinachotokea akitaweza kubeba vyuma vikumwa mpaka niyeyushe tani moja itachukua mwaka mzima
Hahhahhahahaah hapa sio mahala sahihi mkuu nahisi nipo kwenye misitu ya amazon kabisaaah!!!
Kama kuna uwezekano uende ukaongeze mlango wa tanuru ili vyuma vikubwa viingie..........
Hapana mtani.......alafu nilisahau........valentine ulikuwa wapi na umpendae au uwapendao..mtanii........eeh mtani umenichoka
Mie hapo nimeona vyakula viwili cha halali na najisiUmeon vyakula gani,mkuu ?
Hapana mtani.......alafu nilisahau........valentine ulikuwa wapi na umpendae au uwapendao..mtanii........