Hiki ndio kingereza bana!

Hiki ndio kingereza bana!

isiaka6

Member
Joined
May 9, 2013
Posts
67
Reaction score
7
Hapa napo vp? Yesterday i saw u at the maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi)....When you saw me you started to six- six...(uliponiona ulianza ku-sita sita)...You run away and decided to plant a car....(ulikimbia na ukaamua kupanda gari)....Then you pot-cry me through the window..(kisha ukanichungulia dirishani).....Now sleep down and snake well before i cut you a millet....(sasa lala chini kisha nyooka vizur kabla sijakukata mtama) NDIO SHULE ZETU HIZO.
 
haya mambo ni sawa hutokea katika shule zetu za sasa kwani wanashindwa hata kuunda sentensi hata moja ya kiingreza
 
haya mambo ni sawa hutokea katika shule zetu za sasa kwani wanashindwa hata kuunda sentensi hata moja ya kiingreza[/QU umeona eeh! Wengine hata maneno kumi ya-kingereza hatujui.haha hahaaaaaa!
 
Mpaka amefikia hatua hii ya kujua kuunganisha maneno, ni kuongeza juhudi tu kidogo! Mambo yatanyooka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom