Kipi ambacho unadhani kimekuwa kipya sana tofauti na hilo la kula kiboga
kuna mengi zaidi ya ngono kwenye mahusiano mkuu na ukioa kwa sababu ya ngono umepotea
Inawezekana kuwa ni kweli kabisa kwa hayo unayoyasema, japo kwa hali ya kawaida nilitegemea angalau kuona hata dogo ameshtuka, lakini ilikuwa ni kama nilichomwambia anakifahamu, hakuonesha taharuki yyte
angekumalizia na kwenzi moja sema tu ndo mdogo.ako
angekumalizia na kwenzi moja sema tu ndo mdogo.ako