Hiki ndio alichonijibu mdogo wangu

Hiki ndio alichonijibu mdogo wangu

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Wadau hapa juzi kati nilileta habari iliyokuwa inamuelezea mdogo wangu aliyeamua kujipatia jiko kwa kuchumbia binti mmoja ambae mi namfahamu alikuwa anatoka na rafiki yangu na hadi ikafikia huyo rafiki yangu kuniambia kuwa tayari kashamtumia kinyume na maumbile.

Niliandika hapa nikiomba ushauri namna ya kumweleza mdogo wangu, nilipata ushauri tofauti tofauti nikaufanyia kazi na wengine walikuja PM wakitaka niwape namba ya mdogo wangu sijui walikuwa wanaitaka ya nini.

Sasa baada ya kumwita na kumwelezea ishu nzima akanijibu hivi;

''Nilipofikia uamuzi wa kuwa huyu ndio atakuwa ubavu wangu wa kushoto, nilikuwa nimeshachunguza hayo yote unayoyasema na nikajiridhisha kuwa huyu ndio mwanamke anaenifaa, na ni huyu ndio mwanamke niliyekuwa namuhitaji, kwahiyo hayo mambo uliyoyafahamu niachie mimi'', akawa kamalizia hapo
.
 
Safi sana, jibu lake linawafaa wengi wenye tabia ya kichonganishi kama wewe. Huenda na wewe ulimtamani huyo dada umfumue marinda ila dogo kakuwahi ,na kikuume sasa!
 
Ya kaisari mpe kaisari halafu mtoto akinyea kiganja huwezi kuukata mkono unaosha kiganja na mambo mengine yanaendelea
 
nabii mweusi

Nitake radhi mkuu hata cku moja cjawahi kuwaza kufanya huo upuuzi
 
Last edited by a moderator:
mikatabafeki

Inawezekana, maana kwa mambo mazito kama hayo sikutegemea kauwa angetoa jibu jepesi namna hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Nampa hongera dogo ana hekima sana, kuna zaidi ya sex kaona kwa huyo mrembo
 
Galadudu ngoja kwanza nimalize kula mchemsho wangu utapoa,nikimaliza narudi kuchangia!
 
Last edited by a moderator:
Mi nashauri mdogo ake akamkague huyo binti vizuri.
Kama ni 0656...... si mbaya sana
Ila kama imeshafika hadi 0713......
Hiyo haachi tena huo mtandao manake huduma zake keshazikubali

​inaonyesha mdogo wako ni mpenzi mkubwa wa mtandao wa 0713.................
 
Nimkubwa age yake? Yani anafanya kazi Yake ana maisha Yake? Kama ndio wajibu wako kumwambia, hiyari yake kukuelewa...
 
Nimkubwa age yake? Yani anafanya kazi Yake ana maisha Yake? Kama ndio wajibu wako kumwambia, hiyari yake kukuelewa...

Yeah...... ni 27 yrs sasa na anafanya shughuli zake na anaishi kivyake
 
Back
Top Bottom