Hiki ndicho kitakachoiangusha CCM 2020

>>. njaa Babaaa Njaa BABAAA watu tukipewa Khanga na Vitenge + Kofia & Fulana = inashinda Kwa Kishindooooooo >>Ukawa Hawana Hata Ruzuku , Wakipewa Wanaigawa Mara 2 zenj na Dar wamikoani Hata ya Maji Hakuna Kwa nn tusiipigie ,maana maji yapo.
 
Sio kufuru kusema CCM wanajua kupata ushindi hata ikibidi goli la mkono la Nape.
Ni rahisi timu ya Taifa kutwaa kombe la dunia kuliko wapinzani tena kwa ummoja wao kuingoa CCM.INVISIBLE STRIKERS
Walisema watatawala miaka elfu,hadi siku ya kiama.Japo JPM anasema kampeini ya chaguzi ziliisha mwaka jana hadi 2020,lakini wao wameishajizatiti kwa chaguzi za 2020 na 2025.
 
Nabii Huyu sijui anaitwa nani.... NABII mmoja alitabiri na kutoa kiapo kuwa FULANI asipokiwa rais auwawe, Mwengine aitwaye BWAJIMA akasema HIZI NI ZAMA ZA LOWASA & HAKUNA WA KUMZUIA... msumari ukagongomelewa na TB JOSHUA (mzee wa kinyumenyume)
Wote Hao haikuwa

TB JOSHUA (mzee wa kinyumenyume) alianzaga na akina TSVANGIRAI akaja rivasi Tena kwa RAILA , mpya kabisa ya CLINTON.... Tena naskia skia Eti KAPIGA RIVASI MPYA YA 2020

MENE MENE YA RIVASI ....
 
Hebu fikiria wakati wa tabasamu la jk ccm ilichukiwa na zaidi ya nusu wapiga kura.
Yumkini katika zama za udikteta wa chimpumu ccm itachukiwa na zaidi ya asilimia 90 ya watanzania wote.
 
Natamani ingetokea hivyo ila naona ni kama ndoto za mchana vile. Achilia mbali ubovu wa katiba lakini hata akili za wananchi wengi nchi hii bado sana, ni rahisi sana kusahau yaliyopita na kuganga yajayo. Wenyewe wanakuamia "Zimwi likujualo halikuli likakumaliza".
Sioni CCM ikiondoka madarakani 2020. Siioni CCM ikitoka madarakani kwa "makaratasi".
Kuwabadili watanzania waliozoea shida ni kazi sana. Ni rahisi kuweka maji safi nchi hii nzima ndani ya miaka miwili kuliko kuiondoa CCM kabla ya 2025.
 

Unayosema ni kweli na kweli tu, nisichokubalina nacho; ni nani atamwangusha CCM? Watanzania sio wajinga, ni kweli, ni kweli kwamba mtu mwenye akili ya kutosha hawezi kwenda sokoni kumnunulia mkate au keki mwanae, akarudi mikono mitupu eti kwa sababu amekosa alichokihitaji. Atanunua chochote badala ya kile alichokikosa hata kama kitakuwa hakikidhi matakwa yake asilimia mia. Hili ndilo linalotusibu.
 

Eti Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda. Kwanza kwanini aiite Tanzania yake?
 
Kuna utafiti nimeufanya takribani week mbili nimegundua chama cha mapinduzi ikiwemo baadhi na makada wemeanza kusahaulika.
Miongoni mwa watanzania.

Sasa hivi ukizungumzia ccm watu wengi hawawezi kukuelewa ni chama ambacho watu wengi wameanza kukisahau hata wale makada tuliokuwa tukiwasikia mitandaoni , ITV KATIKA mijadala,
Siku hizi hawasikiki .......

Siku hizi story ya mjini ni LIPUMBA, SEIF , LISU ,MBOWE, CHADEMA, BASHITE NA MAGUFULI .

LAKINI UKISEMA CCM WATU HAWAKUELEWI
 
Hata ukisema watu mimi sielewi mkuu

sent from Sokoro nkorambokande
 
Hahaa hii SERIKALI ni nomaa sana yaani hata wale jamaa zetu wa buku 7 mitandaoni wamepotea.

Kweli huyu ndo jpm
Wale nini?
Kaingia jamaa wa jitilie mchuzi pangu pakavu.
Wapambe wengi wa ccm ni wenye njaa kali...bana j ni mkono wa birika mabuku 7 yamepoteana
 
Hawata sahau, sasa hivi wanaishi kwa matumaini kama waathirika wa homa ya INI (hepatitis B), maana HIV ina nafuu
 
You must be totally white upstairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…