Hiki ndicho cheti changu cha form four

Kwa kuwa mafanikio ni kuthubutu ,basi ambae darasani ni zero , anatumia zirp yake katika maamuzi magumu . Msoni anaogopa kwani anajua uhai wa mtu una thamani kubwa . Kwa maneno mengine maisha ni vita , hata jeshini kupigana hasa sio wasomi .
Kweli maisha ni vita. Kwa mwenye uwezo wa kupambana na masomo huyo mwacheni apambane. Mwenye uwezo wa kupambana nje ya masomo nae aendelee kupambana. Pia kama kuna mwenye uwezo wa kupambana katika yote yaani kwenye masomo na nje ya masomo kwa kufanya biashara, kilimo n.k. nae mwacheni apambane kivyake. Kila mmoja apambane kwa kutumia silaha aliyonayo mkononi mwake bila kuchoka. Katika maisha kazi zipo nyingi na si rahisi watu wote tukafanya kazi zinazofanana na pia tukafanikiwa kimaisha kwa kiwango kinacholingana.
 
Mzee mimi niligonga D flati...ila nina gari sita zote namba DD....what a coincidence...
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
So watu wasisome?
Na wakisoma wasijitume sana ili kufaulu vizur?
Na ukifeli unafanikiwa kimaisha[emoji1] [emoji1]
 
Nachojua elimu ya Tz ni kuwakalilisha wanafunzi kujibu mitihani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…