Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Dai kashasema,alianza kudate na Hamisa hata kabla ya Wema,upoo?
 
Na akili ya yule mtoto wa tandale ninavyoona kuna idadi ya watoto amepanga kufikisha atakaye jipendekeza mtoto anamuhusu!
 
Hamisa anajivunia kumiliki Dyudyu hizi ni Akili za Celeb wetu wanatuangusha

Anajivunia kinachompa raha! Ujue life is all about happiness apost RAV4 yake wakati anapenda dudu? Zari anaumia sema tu kwakuwa na yeye analiwaga ndo maana anapotezea.
 
What a brilliant post mwanajamvi!!!
 
...halafu hamna kitu kinachoumiza kama mwanamke awe na pesa halafu atendwe ....atajikagua mwili mzima aone kasoro gani imepelekea kusnichiwa hehehe
 
...halafu hamna kitu kinachoumiza kama mwanamke awe na pesa halafu atendwe ....atajikagua mwili mzima aone kasoro gani imepelekea kusnichiwa hehehe
Zari amemsnich baba wa 3 wake na wanaume kibao tu kabla hata ya Diamond.
Diamond kafunika kombe tu mwisho hapo.
Yule ni katika wanawake Iron hilo swala la Diamond kukanyaga hilo kwasu kwasu sidhani km litamsumbua, haya ndugu yetu wa tandale lile jumba alilosema kanunua kule South aanze kusahau.
 
Hehehehehe
 
Stress flani za kishua. Kuna hatari mashemela wa WCB wakajipigia kwa tiketi ya kufariji, yule mtoto aliyetoka Temeke Seke Seke sina imani nae, hawa wengine wakuja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…