Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
duh! hata sina cha kujibu hapo maana umetoa info zingine za ndani kuliko hata Mickey mwenyewe! na umeconclude tayari.
NIlipo sema dada anamtega ilikua kwa kumletea business zingine kabla hawajamaliza ile ya pesa, sikusema kua hamlipi, mi siwajui vizuri kama unavo wajua wewe.
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!
Taja bei yako nikununue kama nitaweza, habari ya BS haiendani na biashara yako unless unatoa mkopoJamani, kwani laki 3.5 ni nyingi sana kununua ngono? Kwani huwa mnanunua sh ngapi?Kumbe ndo maana mie sipati mnunuzi. Kha!
Michael aseme anamtaka dada au hamtaki, hizo longo longo nyingine ni za kitoto.
nimekuelewa.Sio kwamba nawajua sana, ila nimejaribu kufikiria upande mwingine, sio lazima kila habari unayoletewa uimeze nzima nzima bila kuitafutatafuta hadi ilainike kabisa.
Pia kumbuka usemi wa leo kwa mwenzio kesho kwako, may be in a different way. Ukiona mwanaume anatafuta ushauri unaofanana na kudhalilisha na kukebehi mwanamke mwenzio, muogope kama ukoma, mfano mzuri ni mleta mada hii.
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!
Hapa da Freema umeamua kuniua tu, labda yule mdada ndio katudhalilisha wanaume.
Hapo umeelewa nini Mwali?nimekuelewa.
ametoa tahadhari, nimeielewa.Hapo umeelewa nini Mwali?
ametoa tahadhari, nimeielewa.
Unajua mi Mwali sipendi kubishana na watu? lol
Kwanza hiyo kesho hanioni nikipita pale ni tinted mwanzo mwisho, mahitaji yote ataenda kuchukua yule housegirl wangu!
kama namfahamu vile
na wewe nawe,kila anaekutaka unatuelezea humu,ndio niseme una bahati ya kupendwa au vipi?yale ya house girl uliyamaliza vipi?