Hiki kitendo cha clouds Fm kufanya matangazo karibia dk 20 hadi 25 ki ukweli kinaboa

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,104
1,385
Habari Mkuu

Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio lalini:-

Hiki kitendo cha clouds Fm kufanya matangazo karibia dk 20 hadi 25 ki ukweli kinaboa, yaani unasikiliza redio dk 20, unasikia matangazo tu, sidhani kama kuna msikilizaji anapenda kusikia matangazo mda mrefu ivi, hatukatazi matangazo ila matangazo ya mda mrefu yanapoteza Mvuto kabisa, naomba clouds mmbadilishe ratiba zenu, muwe creative, hiyo system yenu ya matangazo inatuboa sana
 
Si usikilize E fm na wewe....
 
Ukisikia matangazo ujue ndio wanazichanga
 
Siku hizi hawana jipya, hata mimi nilikuwa nasikiliza sana ila siku hizi nimeama
 
Siyo kwa utaratibu huo mkuu, sasa hv ukiangalia pale clouds watangazaji karibu wote wamegeuka kuwa mawakala wa makampuni wanayoyatangazia biashara zao.
Kwa maana hiyo vipindi wanavyoendesha vimepoteza uhalisia wake badala yake imekuwa ni matangazo mwanzo mwisho.

itabidi tuwe wapole tu mkuu maana ile radio inategemea matangazo bila hivyo itafirisika.
 
Back
Top Bottom