Hiki kisasi ni kibokoooo!!!!!

Mwayego "FIGHT FOR UR LOVE DONT AFRAID OF ANYTHING CAUSE LOVE WITHOUT FEAR IS A REAL LOVE"
 
People mna mioyo nyinyi????

Sioni tatizo la huyu dada.....

All is fair in love and war............

Desperate Housewives Season IV. Sometimes ni vizuri when you lose you lose gracefully...that is character, no need for melodrama.
 
Dada hajatulia weye. na shule usipoangalia itakushinda. juat move on your too young for this fight. utaishia pabaya!!"!!!!!!
 
mmh ....josh hakupendi weee ..........angekupenda asingeoa mwanamke mwengine! plz understand that.
 
Inawezekana kabisa huyo Josh aligundua kwamba huyo dada hawezi kumfaa kuwa mkewe. Isipokuwa alikuwa na huruma kwa kuwa wametoka mbali hivyo kuamua kulipa fadhila kwa kumsaidia kielimu....!!!

Afikirie upya, mara nyingi ukiona mlango mmoja umefingwa, kuna mingine 1000 iko wazi kwa ajili yako. Na mtoto ambaye hajawahi kuonja chakula cha mwanamke mwingine, huamini kwamba mama yake ndiye mpishi bora zaidi ya wote duniani.

Mwambie akubali matokeo, aangalie maisha yake bila Josh na pengine kuna mwaname bora zaidi hata ya huyo Josh yupo kwa ajili yake anamsubiri.
 
Back
Top Bottom