GHT, mm nina ona shida kuelewa ujumbe kwenye lile tangazo, najua wanajaribu kuonyesha citizen urgence kwa wanafunzi wajiamini na kusema wazi wazi kuwa hawaridhishwi na hali halisi.yule mwalimu huwa ananisikitisha sana, kwanza mwl mkuu alipomwita na kumwambia afundishe hesabu alishindwa hata kuongea akaishia kusema
''......hivi kweli hauna kabisaaaa yaani hakuna kabisa.......''
yaani kweli mkuu umekosa kabisa wa kumtundika huo msalaba ukaamua kuniangushia mimi??
hahaa mwl anaishia kusema squre root, squre root nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi...
GHT, mm nina ona shida kuelewa ujumbe kwenye lile tangazo, najua wanajaribu kuonyesha citizen urgence kwa wanafunzi wajiamini na kusema wazi wazi kuwa hawaridhishwi na hali halisi.
Lakini, in the other hand, unawezaje kumwambia mwanafunzi a-take charge .....akamwambie mkuu wa shule awatafutie mwalimu compitent, wakati mkuu huyo huyo ndo amemwambia yule kilaza akafundishe Square root?
Inaonyesha wazi wazi kuwa, mkuu wa shule ana-upungufu wa walimu mbaya kabisa, lakini ushiriki wa wanafunzi hapo hauwezi kutataua tatizo ambalo mkuu analijua fika. Tatizo hapo ni kwamba ushiriki wa wananchi---wanafunzi in this case, inaonyesha ku-cover responsibility ya serikali katika kuhakikisha kuna walimu wa kutosha mashuleni.
HILI TANGAZO LINA MUSHKELI......kwa mtazamo wangu.
HaKe hebu fanyeni utaratibu hapo.
Ticha kaimba square root, square root, kama mara mia ngapi cjui .......... Mara kengele ya kipindi, nge nge, ha ha, ticha lazima kimoyo moyo alishusha pumzi uuuuhh! Hakujivunga akaaga fasta. Sijui mwalimu wa Kiswahili na Civics huko labda, af atwishwe zigo la 'namba', what 2 b expected?
lakini ndio inaonyesha hali halisi ya walimu wetu..
God save this country. Watoto wetu sijui wataishia wapi kama hawapati foundation nzuri. Itabidi tuwafunze wenyewe majumbani. Badala ya kuwahi bar ni kuwahi home kuwapa wanoa mazoezi la sivyo wataishia kuwa mazuzu.
FL1, I totally agree with you. Yaani mie wanangu hao walimu wao itabidi niwafanyie interview kabla ya kuchukua fomu ( Inshaalah!). Nadhani tangazo hili linatoa changamoto pia kwa serikali kuhusu ubora na uwezo wa walimu wetu. Hata huko St Maria ni hayohayo. Mwalimu anabaki @ zissss, I mean, u know kibaaao hadi kipindi kinaisha. Na changamoto pia kwa walimu kutokubali kazi wasizoziweza. Sheria ya kazi (Labour relations Act 2004) inaruhusu mtu kukataa kazi ambayo haiwezi untill amejengewa uwezo.lakini ndio inaonyesha hali halisi ya walimu wetu..