Hiki kijungu...mmh

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wakuu,
Mnasemaje kuhusu hicho kijungu chenye nguo nyeupe?

Attachments

  • kijungu.jpg
    40.6 KB · Views: 656

Yooh Yoooh Yap Yap yak yak nimeokiona hata na mimi na macho ya kizee!
 
Playboy bunny katoa ruhusa picha yake ianikwe hivi lakini?
 
Dress code muhimu jamn huyo mwenye suti mhh:A S thumbs_down:
 
They always kill me those bunny dolls. You just wanna eat them without chewing
 
Cha kawaida sana jamaa,tembea uone! na istoshe hiyo ni picha tu usichanganyikiwe kiivyo.
 
Yooh Yoooh Yap Yap yak yak nimeokiona hata na mimi na macho ya kizee!

Port..vipi tena na huku unaangalia?

Au umepotea kubonyeza kitufe cha thread? Maana wewe una jukumu kubwa la kuangalia kondoo wa bwana....
 
Port..vipi tena na huku unaangalia?

Au umepotea kubonyeza kitufe cha thread? Maana wewe una jukumu kubwa la kuangalia kondoo wa bwana....

Ndugu yangu haya mac ho wakati mwingine wacha yaone kama si kufaidi! salama lakini? husikiki kabisa
 
Kwani kinasaidia nini katika kustarehesha...... si ni pambo tu?
 
Port..vipi tena na huku unaangalia?

Au umepotea kubonyeza kitufe cha thread? Maana wewe una jukumu kubwa la kuangalia kondoo wa bwana....

masanilo hana lolote ni mtu wa totoz huo uchungaj wake ni wamashaka.
 
Kafanyaje?

Nahisi alichelewa wakati Muumba anatoa Miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…