wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,592
- 29,504
NdioUnamaanisha jakuzzi?
NdioUnamaanisha jakuzzi?
Jakuzi la kuogea na kukaushaWataalamu huyu wanamfanya nini?View attachment 1655199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili afanywe ndafu
Ziko za aina nyingi mkubwa ,kuna hiyo kuna ya angle (ile kama kibwawa)kuna ya ku simama(kama friji lile ndefu)hii unaingia huko kila kitu kiko ndani na kuna kubw kama chumba cha 5×5ambayo hiyo ukiingia huko unabadilishia na nguo humo humo mafuta kijipodoa kufulia humo humo na kuanika humo humo kila kitu wee unatoka tuu kama umetoka chumbani kwakoKama ni kweli huenda zipo za aina nyingi iyo pichani kaivaa kama nguo lakini jakuzzi nayoijua Mimi mnaweza kuoga hata watu wawili kwa pamoja
Sayona juiceSauna ndo nini?
Ma konyo koza[emoji23][emoji23][emoji23]iyo kama sio CT-SCAN itakuwa ni MRI
Anapigwa deki kunako nanihiiWataalamu huyu wanamfanya nini?View attachment 1655199
Huyu anagegedwa na mashine hapa....hii mashine ni zaidi ya dushe la mwanamme katika kuduu, si unamuona alivyo na hisia ya hajabu, nadhani hapa anawaza yupo Jupiter anacheza na matope.Wataalamu huyu wanamfanya nini?View attachment 1655199
Peponi ndo wapii?Hiyo ni ya kuendea peponi bila kufa, inauzwa ghali sana na mpaka sasa aliyefanikiwa kununua ni huyo dada tu.
ni Peremende ya kichinaSauna ndo nini?
Wanampika.Wataalamu huyu wanamfanya nini?View attachment 1655199
Sauna????Ni moja kati ya huduma zinazo patikana kwenye Sauna za kisasa....
Yes mkuu nimemaanisha saunaSauna????