Hiki Cheti Kingemfaa Nani Humu JF...?

Hiki Cheti Kingemfaa Nani Humu JF...?

Naona ndo elimu itakayoweza kumtoa kila aisomaye....kufanya mazingaumbwe na kutumia ungo fasta unafika Russia kuangalia game ikiisha unageuza fasta tz kwa ungo...kesho yake unaingia job kama kawa.

Dah, wee jamaa una akili aisee. Sjui kwa nini isitumike hii ithibati kwenye uhalisia kiongozi.
 
Back
Top Bottom