Tuko pamojahahahahahahaha ahsante dada kwa jibu lako
Du shirika gani linahitahi wachawi ndugu yangu? Labda huko Israel ukawasaidie kuiba mawingu ya mvua ya Iran😛Kwani mpaka unapata cheti si unaweza ukaajiriwa pia mkuu. Au...?.
Naona ndo elimu itakayoweza kumtoa kila aisomaye....kufanya mazingaumbwe na kutumia ungo fasta unafika Russia kuangalia game ikiisha unageuza fasta tz kwa ungo...kesho yake unaingia job kama kawa.Kwa nini mkuu...?