Hiki chama ni cha kidini?


Umechelewa sana, ulikua bado unakaririshwa au slow learner nini imechukua muda sn kuelewa namna ya kuanzisha thread? Ishajadiliwa sana ntashangaa kama utapata posho, though ni za bure tu, hope mama atasign tu!
 
Ukiwa na akili huru na ukaitumia vizuri utaelewa kabisa kwamba mimi nina faida kwa hicho chama kuliko mnavyodhani coz nawatahadharisha na hiyo njia mnayopitia pengine kwa makusudi au bila kujua

Kweli umesema sawa hata cuf walipitishwa humo sasa kwanini nanyi mkubali kupitishwa humo?

Ni moja katika mawili either chama ni pandikizi au viongozi ni mapandikizi
 
Hapa ndipo Viongozi wa siasa wanapo kwama. Kudhani ya kwamba wao ndio chimbuko la Amani.

Amani ni Zao la Haki. Haki ni Mama wa Amani.

Ukichezea Haki za watu usitarajie kupata Amani.

Na hapa viongozi wa kisasa wanapaswa wawa shukuru viongozi wa Dini maana Amani ya nchi yetu imeshikiliwa na wao kwa kuliombea taifa hili.


Wito wangu kwa serikali yangu ya chama cha Mapinduzi.

Kuku Bali kuleta Mabadiliko sio kushindwa Bali ni kutengeneza historia itakayo kumbukwa na vizazi vyetu.

Mwalimu hakuwa mjinga kuwa sikiliza wachache waliopaza sauti juu ya uanzishwaji wa vyama vingi.

Kura ya maoni ulionyesha wengi walikataa vyama vingi na waliokua na sababu nyungitu za msingi.

Lakini Mwalimu Alisema tusipuuze Sauti ya wachache kwa Busara yake Mfumo wa vyama vingi Ukazaliwa.

Na ulileta ushindani mkubwa mwaka 1995 na ccm ilipoteza baadhi ya majimbo yake.


Lakini Mwalimu Alisifu ushindani ule na kusema umekiamsha chama cha Mapinduzi kufanya siasa nzuri na kuwajibika kwa wananchi na sio kufanya siasa kwa mazoea.

Ni vyema chama cha Mapinduzi kikasoma alama za nyakati.

Sasa hivi wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana juu ya nchi yao hivyo ni vyema chama cha Mapinduzi kika kubali kwenda na wakati uliopo na sio kuishi kwa mazoea na kuona Kwamba kila anaye kikisoa ni Adui Bali wachukue ukisoaji kujitathimini na kujitengeneza Upya.
 
Kuweni wakweli tu ,sasa hi I ccm iko na serikali na waislamu na hawataki haki,watetea haki wote wako na upinzani na wakristo walio wengi
 
Nitajibu baadhi ya hoja hapa japo upo inje ya mada yangu

Mada yangu ni swali je chama ni cha kidini au si cha kidini, ok turudi kwenye hoja yako

Ni kweli mabadiliko yanahitajika na ccm na serikali yake wanafanya hayo mabafiliko kila yanapohitajika kwa kadri ya haja ila ni hatua kwa hatua na mabadiliko ni mchakato, hayawezi kufanyika ghafka ni kdogo kidpgo na yanafanyika na tunaona,

Kuhusu vyama vingi ni likikuwa hitajio la lazima kwa kipindi kile so hata hata kama watanzania wote wangekataa au hata kama rais angekuwa ni shetani ilikua lazima mabadiliko yaje

Na hata sasa mabadiliko yatakuja tu ni suala la mdabtu

na ccm ni chama kimejichimbia sana so wapinzani wakiona njia ni kuingiza viongozi wa dini mwishowe ni kusababisha fujo kwani kila mmoja ana dini yake

Kuhusu mwalimu kusifu ushindani ule ni kwamba hata rais aliyewepo kipindi kile alikuwa muungwana na mwema akaridhika na kuendekea mbele na kushirikia na wapinzani

Taizo hili lilianzishwa na mwendazake kiasi cha kufungia hata siasa zisifanyike wakati wa uongizi wake na hakuna hata aliyeoaza sauti si vyama wala viongozi wa dini na maisha yaliendelea na harakati zilifanyika chini kwa chini na mpaka hapa tulipofika ni cvm imebadilisha mengi katika mabaya ya mwenzao aliyepita vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi

NB
Chama kile ni cha kidini au sio cha kidini?
 
Kifutwe tuu
 
Vipi bakwata wanaunga mkono CCM sio waislamu au bakwata ni dini gani?

Watu wanaunga mkono haki

Haki ipo kwenye biblia labda Kama haki haipo kwenye uislamu ni sawa

Viongozi wa dini wanaongoza watu na wanaoteswa ni watu wakiuwawa wote wakaisha nani watamsalisha kanisani

Amani ni haki na haki ni amani

Tunza haki upewe amani
 
Kuweni wakweli tu ,sasa hi I ccm iko na serikali na waislamu na hawataki haki,watetea haki wote wako na upinzani na wakristo walio wengi
Ukweli ni kwamba hawataki hiyo haki wapinzani wanataka fujo tu

Ushahidi ni jnsi mshitakuwa alivyotaka kesi isikike dunia nzima, akaambiwa njia rahisi ni kuisikiza kidigitali, alivyoona hana hoja akagomea sasa huyo kweli anataka haki na amani au fujo?
 
CCM ni chama cha Mapolisi,ushahidi huu hapa👇
Your browser is not able to display this video.
 
Childish spinning!
 
Hivi kweli utapata haki pasipo na amani? Mimi nadhani amani kwanza kisha haki labda tukubaliane kwamba amani ipo,

Na amani kama ipo basi na haki ipo
Sema siasa ni kama mpira, kila anaefungwa hakubali na atatoa kila sababu za kweli na za uongo

Kuhusu bakwata nijuavyo ni taasisi iliyoanzishwa na serika pamoja na kanisa na ndio sio waislam wote wanaikubali

Sio kwasababu nimewasema wakristo na hicho chama mkafikiri natetea kwasababu ya uisla, no mie natetea uadilifu na amani,
Haki ije na wajibu coz hakuna haki bila wajibu na wengi wanataka haki lakini hawafanyi wajibu wao,
Mfano kila mtu anadai matibabu buee, shule bure na barabara nzuri huduma nzuri ila hakuna anaetimiza wajibu wake kwa mfani wa kulipa kodi stahiki kwa wafanyabiashara, wachuuzi pia na hakuna anaetimiza wajibu wake kwa kulinda miundo mbinu na kufichua wezi wa miundo mbinu, basi ilimradi watu wanasema na wao wanasema
Yaani oye oye wengi ni oye oye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…