KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na picha hapo chini na sijaelew ni aina gani ya uchezaji hii ina ruhusiwa
Ha, ha, ha. Hiyo ni 9:1:0 formation!!!
Lkn ni exaggeration tu ya waandishi wa habari dhidi ya Mourinho.
Lakini si kuna ukweli ndani yake?
ana kipaji na akili nyingi kubuni mifumo mipya kila wakati:
Jose Mourinho alikuwa kocha wa kwanza EPL kutumia 4-3-3 mwaka 2004. Timu nyingi zilikuwa zimezoea sana 4-4-2{ushahidi ni mtoa mada}
Tena alipokuwa Madrid aliwahi kutumia 4-1-4-1. {hatimaye Bayern pia wameanza kutumia}
Mara nyingi CHELSEA inaposhambulia; inacheza 4-2-3-1.mfano ni mechi ya CHELSEA FC vs ARSENAL FC, mechi ya CHELSEA FC vs MAN UNITED. mechi ya CHELSEA FC vs PSG.
THE SPECIAL ONE..HATE HIM OR LOVE HIM.🙂