Yaani hii dispensary ilikuwa ikitusaidia lakini ndo ivyo tena tunaona bonge la X-bomoa, sheria msumeno hatuna budi kurudi matimila, machozi ya samaki inaenda na maji
Nilisikia kituo cha mafuta cha Mwana CCM nguli na tajiri mkubwa wa ma bus Mzee Zakaria kitabomolewa, vipi tayar kimebomolewa? Nyumba na hoter ya MNECK wa CCM nazo vipi zimesalimika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.