- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime you turn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa
- RAIA MWEMA imefanya You Turn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka uoande fulani
- ...........................................................
CCM walijiondoa ufahamu na Kukata Mti Walioukalia Wakati tayari dalili za
Kukubalika kwa Lowassa walishaziona Kwenye kutafuta wadhani.
Hii ngoma nzito mwaka huu. Kinachonishangaza na kunifanya nijiulize ni kuwa hivi mwaka huu fiesta haitakuwepo au ipo imebadilishwa jina .?
Fiesta ya nini tena na wasanii wameshafanya shows za bure kwenye Fiesta ya CCM?
Hakuna mwenye akili mbovu anayeweza kupoteza fedha zake kwa kuandaa fiesta ya pili maana ni hasara tu.
Wasanii wameshapiga show almost mikoa yote.
Mkuu, kumzungumzia HUmphrey polepole ni insult kwa watu wenye akili zao
mashoga hawana nafasi bado labda wahamie detroit
Mkuu, kumzungumzia HUmphrey polepole ni insult kwa watu wenye akili zao
mashoga hawana nafasi bado labda wahamie detroit
Madai yao eti alikuwa ananunua watu,huyu mzee anakubalika bwana.
Yaani binafsi nikimuona nachanganyikiwa!Natamani atangazwe Rais tu nifuraaahi hadi nizimie!...lol
Hii ngoma nzito mwaka huu. Kinachonishangaza na kunifanya nijiulize ni kuwa hivi mwaka huu fiesta haitakuwepo au ipo imebadilishwa jina .?
- TBC Ilikua Inatangaza Habari fulani fulani tu lakini sasa ime you turn
- Kulikua na Mabango ya Kumkashifu Edo Yameondolewa
- RAIA MWEMA imefanya You Turn ya ghafla
- Humphrey Polepole amekuwa kimya ghafla
- mafuriko yanazidi kuongezeka uoande fulani
- ...........................................................
Ngoja leo niwe faizafoksi
Uturn hiyo U sio kifupi cha you. Ni letter hiyo hiyo U ambayo inatamkwa yu. Na maana yake ni kugeuka na kurudi ulikotoka.
Hivyo acha kuwakosoa walioiweka Uturn ukaona au wavivu kuanfika yote au vijana wa kisasa. Wewe ndio umekosea.