Hii ya Tabora imenishangaza sana

nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuu
Karipoti uhamiaji huyo rafiki yako mkenya? Asije kuwa ....haramu?
 

Raiya ndio nini? Hari ndio nini? Naiyomba ndio nini? Hivi nyinyi wakimbizi mbona hamtaki kurudi kwenu? Kwani vita si vimeisha? Ondokeni jamani mnatuharibia amani na lugha yetu adhimu ya kiswahili
 
Umefanya siku yangu nimalize vizuri.
 
Raiya ndio nini? Hari ndio nini? Naiyomba ndio nini? Hivi nyinyi wakimbizi mbona hamtaki kurudi kwenu? Kwani vita si vimeisha? Ondokeni jamani mnatuharibia amani na lugha yetu adhimu ya kiswahili
umekufa kweli wewe kiswahili lugha gani,ukitaka ujue lugha ya kijinga mahakama ya uharifu wa rwanda ilikuwa arusha tanzania ila katika lugha zilizotumika pale zote ujuazo mpaka kiarabu kiswahili marufuku,mahakama ipo tz hapoo, uganda ni lugha ya Watu wahuni
 

Kumbe wewe ni zigo la mavi, kwa hiyo hicho kifaransa na kiingereza ndo lugha zako? mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
 
Kumbe wewe ni zigo la mavi, kwa hiyo hicho kifaransa na kiingereza ndo lugha zako? mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
aina cha mbumbumbu mkuu najaribu kukupa picha tu ilivyo usikae ukacherewa na lugha yako ukajua ndio kumbe sio,lugha yako iyo hapo kwenu tu nje unachekesha wangu
 
aina cha mbumbumbu mkuu najaribu kukupa picha tu ilivyo usikae ukacherewa na lugha yako ukajua ndio kumbe sio,lugha yako iyo hapo kwenu tu nje unachekesha wangu

Samahani mkuu, ya kwako isiyochekesha nje ni ipi?, angalizo usinitajie lugha za wazungu.
 
Inawezekana ikawa ni vitu vidogo kwako wewe mkuu...mkeo anajifungulia Hindu mandal chini ya uangalizi wa madaktari zaidi ya kumi....lakini kwetu sisi wake zetu wanapojifungulia sakafuni na vichakani chini ya uangalizi wa bibi yake au wakati mwingine chini ya uangalizi wa mwanae...hii ni zaidi habari njema kwetu.....
BINADAMU HATUPO SAWA...
 
Unajua kitanda chenyewe gharama yake? Weka picha ili tujadili vizuri!
 
Tabora kuna hali ngumu sn na ht wazawa wengi kule ni kama wazembe fulani hivi kwhy kwao hicho kitanda kimoja ni sawa na vitanda mia. Na kwasbb wengi wao hawapendi kujishughulisha ndio maana walipata muda wa kwenda kushangaa hicho kitanda.
 
mkuu umestaharabika point tupu nami zimeniingia
 
madogo yana afadhali!! kitanda kimoja tu!

Wakuu, kwani hicho kitanda thamani yake ni shs ngapi? Je ni cha kawaida au ni kile cha kujifungulia akina mama? Kwanza tujue hayo.
 
Wakuu, kwani hicho kitanda thamani yake ni shs ngapi? Je ni cha kawaida au ni kile cha kujifungulia akina mama? Kwanza tujue hayo.
hata kikiwa cha kujifungulia wakina mama thamani yake akiwezi kukusanya umati vile
 
wakati ufike misaada ya walowezi ya namna hiyo muibeze,usikute wilaya hiyo ilopewa kakitanda watendaji wake wanatembelea vx na madude mengine yanayonyanya mafuta vibaya.wabunge wa huko waeshimiwa sitta,rage hii habari haijakaa sawa itafutieni hospital vitanda
 
Wakuu, kwani hicho kitanda thamani yake ni shs ngapi? Je ni cha kawaida au ni kile cha kujifungulia akina mama? Kwanza tujue hayo.

Mkuu sisi walalahoi ambao wake zetu kubeba mimba ni nusu ya tiketi ya kifo kwa maana ya mazingira mazima ya kujifungulia pamoja na upungufu wa vifaa kikiwemo hicho kitanda mnachokishangaa..kwetu sisi kina thamani kubwa kuliko hata thamani ya fedha ilichokinunulia.......tabia kama hizi za kudhihaki hata hizi juhudi ndogo za watendaji wa serikali katika kuboresha huduma za afya zinarudisha mapambano ya serikali ya kukabiliana na vifo vya kina mama na watoto....hata kama serikali imeoza lakini kwa muda huu ambao imezinduka hasa katika mambo kama haya yanayogusa maisha yetu lazima tuonyeshe kufurahia...otherwise uwe miongoni mwa lile kundi la wanaotibiwa maleria London....
 
kwa kweli hii ni dharau, tena kubwa sana yaani watu milion 45 kwa kitanda kimoja, inaonyesha ni jinsi gani wawekezaji wetu walivyo masikini kuliko ata sisi na nia yao kubwa ni kutuchukulia ata hiki kidogo tulichonacho
 
Me nadhani raia ndiyo wanaishangaa Exim Bank kutoa kitanda kimoja tu.
 
Watanzania ni wakurupukaji sana. Fanyeni research kabla hamjaleta threads zenu za ajabu ajabu. Hivi unadhani hicho kitanda ni kama kile unalalia na wife? Unajua bei ya kitanda kimoja cha kawaida cha hospitali achilia mbali kitanda complicated chenye facilities za kujifungulia mama? Nadhani hujui zaidi ya kukurupuka kuandika thread. Unawajua hata madealers wa kuuza hivyo vitanda? Umewahi kujifungua wewe?

Watu wanasugua vichwa na kupambana ili wasaidie jamii wewe unaleta mzaha. Ooh wahindi!! Kwa taarifa misaada ya taasisi wanaianzisha watu wa eneo husika. Sijui ila sidhani kama kuna Muhindi Exim Tabora.

Tujifunze kuwa na shukurani. Taasisi ngapi wameangalia tu hospitali haina hata kitanda kimoja? Exim na aliyeasisi wazo la kununua kitanda mbarikiwe sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…