tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Mleta uzi kasema Exim bank na wala sio stanbic bank aka wakala wa ESCROWHiyo stanbic si ndio watu walichota pesa kwa maroba?wanachoshindwa kununua hata vitanda elfu moja ni nini?
nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuuHii taarifa yako nimejikuta najishangaa kwanini nami nimeshangaa kitanda kimoja tu kimewakusanya umati mkubwa hivyo (kwa mujibu wa maelezo yako).
Ila nimepata jibu "na wao hao JWTZ na raia wanaishangaa Exim Bank kutoa "kakitanda kamoja tu".
nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuu
Yaani itifaki full, yaani hawa wahindi wametuzarau sana sio chumvi kwani taarifa ya habari saa mbili ulitazama kituo gani ungetazama star Tv ungeona mambo,kitanda tena kimojaaaaMkuu, sijakusudia kucheka!
Kwamba tu maskini kufikia kiwango hicho?Kitanda kimoja kikusanye umati wa watu tena kiitifaki kabisa...? Msimuliaji wako pengine ametia chumvi katika habari yake.
Yaani itifaki full, yaani hawa wahindi wametuzarau sana sio chumvi kwani taarifa ya habari saa mbili ulitazama kituo gani ungetazama star Tv ungeona mambo,kitanda tena kimojaaaa
umasikini mwingine ni vichekesho jamani ,tena wananchi wametulia hao kimyaaa,mi nilijua labda gari! Kufungua kitanda looo!!Mbavu zangu, hujazitendea haki!
Mkuu, sijakusudia kucheka!
Kwamba tu maskini kufikia kiwango hicho?Kitanda kimoja kikusanye umati wa watu tena kiitifaki kabisa...? Msimuliaji wako pengine ametia chumvi katika habari yake.
Mkuu hivi viroba feki vya vingunguti vinaniharibu sana uelewa.Mleta uzi kasema Exim bank na wala sio stanbic bank aka wakala wa ESCROW
nadhani hii ni bangi ya mbalizi na mavi ya swala !!! Maana stim lakeeee balaaaaMkuu hivi viroba feki vya vingunguti vinaniharibu sana uelewa.
Zawadi haina ukubwa jamani. Shukuruni kwanza, bank imefanya hivyo kama njia ya kukufungulieni mengi makubwa baadaye.
Mbona Mh. James Ruge hakukumbuka hata wale wazee wasio na pa kulala akawapa nao ka 80 m? Kutoa ni moyo si utajiri. Wacha wapigiwe masaluti ni haki yao.
Aksante sana sana Exim bank kwa moyo wa kutoa. Mkiokota tena kingine huko kwenu wawekezwaji mtuletee hata kama akijifungulia mama mmoja kikavunjika. Yote ni misaada tu.