Hii ya serikali na magari ya kijapani imekaaje

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Hivi serikali ya tanzania ina ubia gani na japani? Mbona magari yake karibu yote ni ya kijapani?
 
Nadhani ndiyo ya bei rahisi na yanayoweza kuhimili hali ya miundombinu yetu.
 
They are cheap, compared na magari ya aina hiyo kutoka nchi nyingine kama USA, UK
 
Nadhan ni magari imara kwa utafiti walofanya kwa msaada wa watu wa marekani, na yanakimbizwa vibaya! Leo naibu spika nimepishana nae nzega ile spidi ni noma.
 
Hivi kwa nini wananunua magari in the first place

Kwani hawawezi kuwapa mikopo hao wakurugenzi wajinunulie magari ...
 
Asilimia 80% ya magari yote Tanzania ni toka Japan.....na 90% ya hayo yakiwa TOYOTA....ndio maana Japana haiachi kutujengea barabara tupitishe magari yao...si ajabu kwa serikali nayo kuwa na hali hiyo....jionee na uhesabu mwenyewe

DSC_2767.jpg
 
Sio ya JAPAN tuu bali ni magari expensive toka JAPAN maana ata Spacio ni ya JAPAN
 
Back
Top Bottom