VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani
Am sure its possible, hawa watu wamezidi..... Lakini ili kukomesha hii issue ni kubadilisha Katiba tu... Sababu Kama waajiri wa hawa watu wote is the Guy in the power inakuwa ni vigumu kwa watu ambao hawapo kwenye power kujaribu kumuondoaIvi huwezi mfungulia kesi uyo aliyeleta izo tuhuma ikidhibitika gari ni lake?has kwa kumchafulia jina?
Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....
Naona sasa umekuwa msemaji wakeAngekuwa mwizi wangemuweka ndani na gari wangebaki nalo
Naona sasa umekuwa msemaji wake
USHABIKI MWINGINE HAUNA HATA MSINGI, UNAWEZA KUTHIBITISHA KWAMBA NI LA WIZI? UNAWEZA KUMSHIKA MTU NA NGOZI LAKINI NI YAKE SI YA WIZI KAMA INAVYODHANIWA, KWAHIYO KABLA HUJAONGEA UPUPU THIBITISHA KWANZA.:yuck::angry:Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....
Mpendazoe anatakiwa atumie press conference kukanusha hilo swala kama si kweli, hii itaiweka serikali sehemu mbaya kama kesi ni ya kutunga.
Ni wazi kuwa unaishi kutegemea ndoto za mchana...! Unakumbuka kisa cha Aladini?Mimi ni msemaji wa yeyote ambaye hajatendewa haki... wanasema mwenzako akinyolewa.... kama wanaweza kufanya hivyo kwa Mpendazoe what is stopping then kunishika mimi kwamba laptop yangu ni ya wizi just because nimeongea kuhusu kushikwa kwa Mpendazoe
Ushabiki upo wapi? Ni vema kusoma thread na kuielewa kabla ya kukurupuka na majibu ya hewani!USHABIKI MWINGINE HAUNA HATA MSINGI, UNAWEZA KUTHIBITISHA KWAMBA NI LA WIZI? UNAWEZA KUMSHIKA MTU NA NGOZI LAKINI NI YAKE SI YA WIZI KAMA INAVYODHANIWA, KWAHIYO KABLA HUJAONGEA UPUPU THIBITISHA KWANZA.:yuck::angry:
Ni wazi kuwa unaishi kutegemea ndoto za mchana...! Unakumbuka kisa cha Aladini?
Ushabiki upo wapi? Ni vema kusoma thread na kuielewa kabla ya kukurupuka na majibu ya hewani!
Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....