Hii ya Mpendazoe Kukamatwa na Gari la Wizi imekaaje

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
According to Nipashe, Jana Mpendazoe alikamatwa na gari alilokuwa akiliendesha kwa kigezo kwamba liliripotiwa limeibiwa tangia June mwaka jana. Mpendazoe alisema kwamba hilo ni gari lake halali na alitaka wamwambie ni la nani... Baada ya kupelekeshana kituoni walimwachia...... Mpendazoe anasema huenda hizi ni mbinu wanazotumia baada ya yeye kufungua kesi mahakamani kuhusu ubunge

My Take
Haya mambo ndio yanayowatisha wengi kwenda upinzani.
 
Sahihi, lakini mapinduzi ya kweli watu hawaletii kwenye kisahani! hupatikana kwa kuyang'ang'ania wenyewe. ikiwa ni pamoja na masaibu ya kusingiziwa. Ili kukomesha hali hii, inabidi kutumia "hali hiyo kisiasa" kuonesha ubaya wa chama fulani kutumia dola kubambikizia kesi watu kisiasa.
 
Mpendazoe anatakiwa atumie press conference kukanusha hilo swala kama si kweli, hii itaiweka serikali sehemu mbaya kama kesi ni ya kutunga.
 
Mpendazoe amesema gari hilo analo tangu mwaka 2007 na alilitumia wakati wa kampeni; pia juzi alienda nalo polisi kuomba kibali cha mkutano nk. Kwa nini wakati wote huo hawakukamata? Na kwa nini walimrudishia gari hilo? Kama wanatuhumu ni la wizi kwa nini wasilishikilie kwanza hadi upelelezo ukamilike?
 
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani
 
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani

Issue ni kwamba kama its true mtu wanakufatilia sababu ya kugombea upinzani, This must stop, jamii inabidi iwe na uhakika kwamba hata ukigombea upinzani rights zako zitakuwa protected. Hii inafanya watu wenye Biashara zao wasiende upinzani kwa kuogopa kuwa wataanza kufatiliwa
 
Ivi huwezi mfungulia kesi uyo aliyeleta izo tuhuma ikidhibitika gari ni lake?has kwa kumchafulia jina?
 
yaani polisi wajinga sana ..sasa kama gari la la kuiba mbona wamemuachia aondoke nalo..si wangelizuia na waendelee na upelelezi
 
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani

Unanisikitisha unavyosema hivyo, kwako haki ya mtu haina nafasi siyo?
 
Ivi huwezi mfungulia kesi uyo aliyeleta izo tuhuma ikidhibitika gari ni lake?has kwa kumchafulia jina?
Am sure its possible, hawa watu wamezidi..... Lakini ili kukomesha hii issue ni kubadilisha Katiba tu... Sababu Kama waajiri wa hawa watu wote is the Guy in the power inakuwa ni vigumu kwa watu ambao hawapo kwenye power kujaribu kumuondoa
 
Naona sasa umekuwa msemaji wake

Mimi ni msemaji wa yeyote ambaye hajatendewa haki... wanasema mwenzako akinyolewa.... kama wanaweza kufanya hivyo kwa Mpendazoe what is stopping then kunishika mimi kwamba laptop yangu ni ya wizi just because nimeongea kuhusu kushikwa kwa Mpendazoe
 
Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....
USHABIKI MWINGINE HAUNA HATA MSINGI, UNAWEZA KUTHIBITISHA KWAMBA NI LA WIZI? UNAWEZA KUMSHIKA MTU NA NGOZI LAKINI NI YAKE SI YA WIZI KAMA INAVYODHANIWA, KWAHIYO KABLA HUJAONGEA UPUPU THIBITISHA KWANZA.:yuck::angry:
 
Mpendazoe anatakiwa atumie press conference kukanusha hilo swala kama si kweli, hii itaiweka serikali sehemu mbaya kama kesi ni ya kutunga.

Itakuwa ya kutunga kwani polisi walimwachia na kusema bado wanahakiki namba kama ndio zenyewe, sasa walimkamata vipi wakati hawana uhakika na namba za gari? Pia afiche mbali sana kadi ya gari ili wasije tengeneza ushahidi wa uwongo; kwani unaweza kukuta gari limesajiliwa juzi na wenyewe la kwao limeibwa wiki mbili zilizopita! Polisi bongo busara, na hekima hawana!
 
Mimi ni msemaji wa yeyote ambaye hajatendewa haki... wanasema mwenzako akinyolewa.... kama wanaweza kufanya hivyo kwa Mpendazoe what is stopping then kunishika mimi kwamba laptop yangu ni ya wizi just because nimeongea kuhusu kushikwa kwa Mpendazoe
Ni wazi kuwa unaishi kutegemea ndoto za mchana...! Unakumbuka kisa cha Aladini?

USHABIKI MWINGINE HAUNA HATA MSINGI, UNAWEZA KUTHIBITISHA KWAMBA NI LA WIZI? UNAWEZA KUMSHIKA MTU NA NGOZI LAKINI NI YAKE SI YA WIZI KAMA INAVYODHANIWA, KWAHIYO KABLA HUJAONGEA UPUPU THIBITISHA KWANZA.:yuck::angry:
Ushabiki upo wapi? Ni vema kusoma thread na kuielewa kabla ya kukurupuka na majibu ya hewani!
 
Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....

acha ushabiki reason ukiwa atleast na element ya utu! Put yourself on his place, ingekuwaje? bahati yako sikufahamu, ungekuwa kwenye jamii yetu ningeanzisha move ili uhasiwe kwani hufai
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom