Hii ya Mpendazoe Kukamatwa na Gari la Wizi imekaaje

acha ushabiki reason ukiwa atleast na element ya utu! Put yourself on his place, ingekuwaje? bahati yako sikufahamu, ungekuwa kwenye jamii yetu ningeanzisha move ili uhasiwe kwani hufai
Labda sijui tena maana ya ushabiki, nitashukuru iwapo utanifahamisha maana yake, kabla ya kuendelea kubwabwaja!
 
tatizo la mpendazoe ni mpendazote yeye kila kitu anataka tu,ubunge,chadema,ccj,segerea,kinindoni !! bora wamtoe segerea mitaani na wampeleke segerea gerezani

Crap! siyo lazima kuchangia kila thread kama huna hoja za msingi!
 
acha ushabiki reason ukiwa atleast na element ya utu! Put yourself on his place, ingekuwaje? bahati yako sikufahamu, ungekuwa kwenye jamii yetu ningeanzisha move ili uhasiwe kwani hufai

Kuna watu they dont look beyond the man.... wanakuwa personal badala ya kuangalia issue.... This has been happening a lot kwa watu wengi. Hapa tunaongelea haki, Kama kweli kuna kesi then sheria ichukue mkondo wake... Lakini kama hamna kesi, inabidi tuangalie ni wapi penye makosa.
 
Itakuwa ya kutunga kwani polisi walimwachia na kusema bado wanahakiki namba kama ndio zenyewe, sasa walimkamata vipi wakati hawana uhakika na namba za gari? Pia afiche mbali sana kadi ya gari ili wasije tengeneza ushahidi wa uwongo; kwani unaweza kukuta gari limesajiliwa juzi na wenyewe la kwao limeibwa wiki mbili zilizopita! Polisi bongo busara, na hekima hawana!

Ndio maana baadhi ya wasomi walioelimika hawataki kwenda polisi kujizalilisha kama hao waliomkamata Mpendazoe.Wakiambiwa na wanasiasa kamata wala hawajiulizi wanakurupuka tu.Wanalizalilisha sana jeshi la polisi na kuonekana chombo cha watawala tu na sio watz wote!
 
Swali langu lingine, je kuna namna ambayo Mpendazoe anaweza kuwashitaki polisi ikidhihirika kuwa walimkamata kwa makusudi ili wamdhalilishe?
 
Aitishe press conference, hii pia itawaweka mahakimu wa ile kesi ya uchaguzi kwenye wakati mgumu(kama wamenunuliwa) na kwenye tension ya haki kama watakuwa fair
 
Aitishe press conference, hii pia itawaweka mahakimu wa ile kesi ya uchaguzi kwenye wakati mgumu(kama wamenunuliwa) na kwenye tension ya haki kama watakuwa fair

Tatizo hata hizo Media ambazo ziko fair ni za kuhesabu.... Kazi kweli tunayo. Safari ni ndefu ngumu na yataka moyo
 
Hizo ndio mbinu wich UWT and security forces are best at. Wanajaribu kumpotezea effort, akili na resouces zake ili zisitulie kwenye kesi yake na waziri aliyeteuliwa na JK.

  • Was this an operation? Kama ndio walikamata gari ngapi nyingine kwenye zoezi hilo
  • Was It a Tip off. ?!!
Kweli kuwa mpinzani ni RISK. inahitaji moyo.
 
Thats why system yote inabidi ibadilike hii power ya mtu mmoja kuweza kuwateua watu na kuwaweka madarakani ni kubwa mno inabidi nguvu hii ipewe bunge (Parliament Supremacy).
 
Pengine ni mwizi, Mshikwa na ngozi.....

Kwa nini leo akiwa CHADEMA na sio wakati akiwa CCM wakati gari hili amekuwa nalo miaka nenda rudi na watu wanamuona nalo??? Au kwa sababu kamshika JK wenu kwenye mvungu wa nanihii kwa kumfungulia kesi ya kupinga matokeo swahiba wake alieiba kura kweupe lakini kwa ujuha na kutokujali kwa JK akampa wizara???

CCM mbwana mnakuwa na visa kama nini, mke kashakukimbia kaenda kwa mume anaejua kutunza unahangaika nae wa nini maisha ynapoelekea kumnyookea???

MNAKUWA KAMA MAHIMBO BWAN, Kashindwa tunza mke, mke kakimbia anmlaumu DR. KULA DR. HIYO HALALI YAKO BANA, MWANAMKE HUFUATA MWANAUME WA KWELI KAMA CHADEMA NA DR.
 
Back
Top Bottom