Hii ya magari yaendayo kwa kasi imekaa je?


Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,498
Likes
22
Points
0
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,498 22 0
Kitika tafakari yangu ya leo nimejiuliza vituo vya magari yaendayo kwa kasi vinakamilika, je hayo magari yatatumia barabara gani? Na je kwani haya yaliyopo hayawezi kwenda kwa kasi?maana kama sio hizi traffic jam mabasi yanaeza kwenda mwendo mkali sana tu. Mtazamo wangu naona ni watu wanajijengea mradi wao na baada kuja kutojea kashfa za ajabu ajabu kama ilivyo kawaida ya nchi yetu. Kama kuna yeyote mwenyekufahamu zaidi juu ya hili anijuze jama.
Nawakilisha
 
M

mbasamwoga

Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
71
Likes
0
Points
0
Age
33
M

mbasamwoga

Member
Joined Jul 6, 2011
71 0 0
Ndugu yangu hii nchi yako ukiyafikiria sana hayo,utapata maradhi ya moyo ma- bp. Huo mradi ni mfereji wa ridhiki kwa wajanja. Hadi sasa mabilion yameshatumika kwa huoujenzi wa vituo.
Hatuna miundombinu wala maeneo ya mradi huo bali ni upofu wa kukopi na kupest tuuu
 

Forum statistics

Threads 1,235,190
Members 474,353
Posts 29,213,936