Hii ya leo noma

Hii ya leo noma

Complicator EM

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
155
Reaction score
39
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye contact za WA KUSOMA humu jamani?
 
Hahahaa, una hamu na jela wewe. Ila siku hazifanani.
 
WAKUSOMA ni MKULIMA, MFANYAKAZI au mfanyabiashara?...
 
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye contact za WA KUSOMA humu jamani?

Hapo kwenye black hapo... Mbona unajicontradict mwenyewe?
 
WAKUSOMA ni MKULIMA, MFANYAKAZI au mfanyabiashara?...

WA KUSOMA mwanafunzi nasikia yuko mbele nchi za watu huko anafanya Masters ya pili hlf nasikia bado dogo tu eti 23 aged. Ulidhani mwenzetu yule?
 
Ujisikii kula halafu huna hela? Mbona ni ushidi
 
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye contact za WA KUSOMA humu jamani?

nakushauri urudi tena kitandani ukalale...hadi keeeeshooo.
 
ushauri mwingine bwana siyo, yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf wewe unaniambia nikalale tene si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way.
 
nakushauri urudi tena kitandani ukalale...hadi keeeeshooo.

Ushauri mwingine bwana siyo, yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf wewe unaniambia nikalale tene si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way.
 
​mara wakusoma...................mara huna hela afu huna hamu ya kula,vip?????
 
Back
Top Bottom