WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Sisi watanzania tuna roho mbaya sana hatuna utu moyoni
WanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
hivi wewe bado upo?
wenzio washaondoka nawewe fanya uondoke rudini kwenu bana.
Hapa sasa ndipo unapopotea. Badala ya kujadili hoja unajadili mwandishi. Yeye ameripoti kilichotokea. Sasa angekuwa mwandishi ni mchina au mkenya ungesemaje?Huyu nampesya ni mnyarwanda ndugu zake wote wapo ngara nawajua sana.
Nadhani jibu unalijua kuwa hatukua na vitambulisho vya uraia kama ilivyo zbar. Matokeo yake ni kuwa tulikuwaWanaJF, aliyetegea sikio BBC dira ya dunia . Taarifa ya Devid Mwampesia inauma sana kuhusu Wanyarwanda na Warundi walioondolewa Tanzania.
Wengine waliolewa Tanzania na wameishi kwa miaka 25 , wengine ni wazee na ukada wa chama tawala walipewa na kura walipiga .
Swali langu ni je kwanini wapewe shahada za kupiga kura?
Kwanini wapewe muda mrefu kiasi hiki hadi umpe chansi ya kukupigia kura?
Huyu nampesya ni mnyarwanda ndugu zake wote wapo ngara nawajua sana.
Wewe mtoa mada huwajui watutsi wewe,,,,