Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Simtetei Nyerere wala sina upande ktk huu mjadala,
Lakini maneno kama hayo hapo juu ya FF sidhani kama yanastahiki kwa marehemu ukichukulia sisi waafrika tuna utamaduni wa kutomdhalilisha ama kumhukumu marehemu, kwani tunajua wazi kwamba hawezi kurejea na kujibu hoja hizi.
Ninaamini FF ukiendelea na hii hulka unaweza ukajikuta unapambana na kanuni za JF
Ninaamini hili litakuwa ni final warning kwa mhusika kabla hujamchulia hatua kali zinazostahili kwa mujibu wa sheria za JF!