Hii website inamdhalilisha Mwl. Nyere kwa nini serikali haiifungii?

Simtetei Nyerere wala sina upande ktk huu mjadala,
Lakini maneno kama hayo hapo juu ya FF sidhani kama yanastahiki kwa marehemu ukichukulia sisi waafrika tuna utamaduni wa kutomdhalilisha ama kumhukumu marehemu, kwani tunajua wazi kwamba hawezi kurejea na kujibu hoja hizi.

Ninaamini FF ukiendelea na hii hulka unaweza ukajikuta unapambana na kanuni za JF

Ninaamini hili litakuwa ni final warning kwa mhusika kabla hujamchulia hatua kali zinazostahili kwa mujibu wa sheria za JF!
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

umepata wapi uhakika kuwa St. Nyerere yupo Motoni badala ya Mbinguni kifuani mwa Ibrahimu?
 
Haya wakuu nadhani FF ujumbe ushamfikia kilichobaki ni kufanya utaratibu wahusika wataarifiwe kuhusu hii tovuti
 
-------------------------Who is FaizaFox, anayemfahamu na CV yake aiweke hapa jamvini ----------------------------------------------------------
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

ff...udini wako umekupofusha macho yako,na hata unaikosea dini unayoiamini...kwa kukusaidia,dini hakusaidi kufika mbinguni,ni uhusiano wako na Mungu..na leo uisikie injili akili mwako na usiwe na udhuru sasa na milele kwamba hukusikia..ni kwa Kristo Yesu tunapata kuwa na uhusiano na Mungu. Mungu ni mtakatifu sana na kumbuka uhusiano na wanadamu ni kwa jinsi ya rohoni lakini roho ya mwanadamu ilitengana na Mungu pale aden kwani kama ujuavyo wanadamu wote tulihesabiwa kosa kwani wote tulikuwa ndani ya adam kwa jinsi ya roho..mwanadamu kwa juhudi zake zote hawezi kuwa mtakatifu na kuhesabiwa mbele za Mungu na kwa sababu hii Kristo alikuja kama adam wa 2 ili kila aminiye ahesabiwe haki na utakatifu ktk yeye na kufuta hukumu ya adam wa 1,na hii ndio haki ya Mungu...kila aminiye ktk Kristo amesamehewa na roho yake imepatanishwa na Mungu na asiye amini amekwisha hukumiwa...sio utahukumiwa bali umekwisha hukumiwa..na leo ff ufahamu wako umesikia habari njema.
 
Simtetei Nyerere wala sina upande ktk huu mjadala,
Lakini maneno kama hayo hapo juu ya FF sidhani kama yanastahiki kwa marehemu ukichukulia sisi waafrika tuna utamaduni wa kutomdhalilisha ama kumhukumu marehemu, kwani tunajua wazi kwamba hawezi kurejea na kujibu hoja hizi.

Ninaamini FF ukiendelea na hii hulka unaweza ukajikuta unapambana na kanuni za JF

Huna haja ya kumtetea yeyote, na wala huna haja ya kunitisha, Uislaam kwangu uko juu ya mila yoyote ile, iwe ya Kiafrika, ya Kizungu ya Kihindi, ya Kiarabu, mila yangu Uislaam na kitabu changu Qur'aan.

Huwezi kunilazimisha au kunitisha katika imani yako ya tamaduni za Kiafrika. Mimi imani yangu ni Uislaam, na katika Uislaam kila kitu kipo wazi, ukifanya hivi "pepo" ukifanya hivi "moto".

Qur'an 2:161. Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. ***


Qur'an 2:162. Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika. ***


Qur'an 2: 163. Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Ndugu Paw, ikiwa utanichukulia sheria kwa imani ya dini yangu, utakuwa unanionea na hutendi haki. Kama ni hivyo basi bora upige "ban" na Qur'an na mafundisho ya Uislaam.

Mwenyezi Mwenyezi Mungu Mtukufu anatuambia ndani ya Qur-ani Tukufu:"ENYI MLIOAMINI !INGIENI KATIKA HUKUMU ZA UISLAMU ZOTE, WALA MSIFUATE NYAYO ZA SHETANI, KWA HAKIKA YEYE KWENU NI ADUI DHAHIRI". Hili nitangazo na agizo la Mwenyezi Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kila ambaye ameukiri na kuukubali uislamu kwa khiyari yake mwenyewe. Katika tangazo na amri hii analazimishwa kila muislamu kuufuata uislamu mzima kama mfumo wa maisha yake yote. Aufuate uislamu katika maisha yake ya kijamii, kiuchumi,kielimu, kiulinzi, kiibada na baki nyanja nyingine za maisha yake. Atambue kuwa uislam kama dini ndio mfumo sahihi wa sheria, mila na utamaduni umfaao mwanadamu. Ni mfumo ulio kamilika, kwa mantiki hii uislamu,uislamu hauna upungufu na wala hauhitajii ziada yoyote kutoka popote pale. Haya yanathibitishwa na kauli tukufu ya Mola Mtukufu: "LEO NIMEKUKAMILISHIENI DINI YENU, NA KUKUTIMIZIENI NEEMA YANGU, NA NIMEKUPENDELEENI UISLAMU UWE DINI YENU…."[5:3]
Source: Nasaha-Mila zinazokhalifiana na sheria-I
 
Faizafoxy,huoni kama jukwaa la kumhukumu Nyerere kiimani,au kidini,si hili la siasa?! Suala la uislamu wako sawa,lakini humu si mahala pake! Hata Wakristo nao haifai kujadili mambo ya Nyerere na imani yake katika jukwaa hili la siasa. Ni maoni tu.
 
Umechukua nafasi ya Mungu katika kuhukumu,
lakini sishangai kwa sababu kuna watu wananua wenzao hadi leo hii kwa dhambi hii au ile kama vile wao hawana dhambi. Angalia usihukumu usije ukahukumiwa
 
Anaedhalilishwa ni yule ambae yupo hai. Huyo jamaa hana hata habari saa hizi, nna uhakika yupo motoni.

ndio maana dini yenu naiona ya kigaidi,sisi tunafundishwa kutohukumu,unaonaje kibanzi kwenye jicho la mwenzio bila kukitoa kilichomo kwenye jicho lako,wewe ukienda mbinguni mimi sitaenda maana atuwezi kuka mbingu moja na shetani au aliyepitia dini ya kishetani kufika mbingu hiyo.
 
kitabu cha mkweli mwaminifu, juzuu 1-2 uk 206,hadithi na 467 kasema mtume (s.a.w) ''Hakika mwanaume akimtazama mkewe (kwa matamanio ya kuingiliana) naye (mke) akamtazama mumewe (kwa ajili hiyo).Basi anawatazama mwenyezi mungu utazamaji wa rehema,(mume) akimshika mkewe kwa mkono wake (kwenda kutimiza haja yao) basi yadondoka(yanatoka) madhambi yao kwenye vidole vyao'' ndugu zangu hayo ndio mafundisho ya akina FaizaFoxy wakidai wanapeana helimu ahera.kumbuka kwamba kigezo cha waislamu wote na mfano wao mzuri wa kuigwa ni mohamad (s.a.w) tazama Qur'ani 33:21 , hayo ni baadhi ya mawazo ya huyo mbaba wanawaye mwamini.
 
Kuwa intellectual hakumaanishi uandike makala za kichochozi kama hizo ..... sasa huyo jamaa nia yake ilikuwa nini kama sio kuanzisha mifarakano kati ya wakatoliki na waislam ?

galasa wewe kama msomi na mpenda amani ni jukumu lako kuchambua mawazo na hoja zinazojengwa na watu wengine. Kama unaona haina maana na ni za kichochezi achana nazo... Unavyozidi kuzi note na kuzipigia mstari ndio uchochezi wenyewe huo. Achilia mbali hayo mambo.
 
Paw, unakumbuka kulikuwa na thread kuhusu Jamii Forums au Jamaa forums!? Nyerere kuna baadhi ya waumini wanahesabu yupo kwenye daraja kuelekea utakatifu, ni imani, Mtakatifu wangu ukisema yupo motoni (na eti una uhakika) siwezi kuvumilia matusi haya.

Tafadhari, JF na sheria zake zisifumbe macho kwa baadhi ya member na hasa wanaochukua jukumu la kudhalilisha viongozi wa kiimani
 
Teh teh wakisema waislam wachochezi, wakisema wakristo wanasema ukweli asizibwe midomo, hivi ni nyie tu wenye haki ya kutoa maoni? Hapo mmechemsha
 
Back
Top Bottom