Hii website imekaaje wataalamu?

Hii website imekaaje wataalamu?

unajua maana ya abuse? Mfano nimeona umecoment kwenye thread ile ya ku update opera mini kua operamini za forum yako hazisumbui is it yours?

Ukiwa na website ya aina yoyote ile haswa blogs na forum kujiepusha na zahma la kumiliki vitu ambavyo si vyako unatakiwa usivihost just andika maneno tu na link ya kudownload wape kesi makampuni ya kuhost mafile kama mediafire.

Hata ukiwa na kafile ka kb2 ambacho hujakatengeneza wewe ila umekapata kwenye website za wenzio na ukakaeka kwako bila ruhusa ujue ume abuse terms and condition za dot.tk wanayo haki ya kucancel domain yako.

Then suala la rank dont worry ukifungua site katika free hosting huwa wanakupa subdomain yao kabla ya kutengeneza mwenyewe domain yako lete hapa hiyo subdomain uonyeshe hio rank. Ambayo unaringia dot.tk wamekuibia

Na dot.tk wakicancel domain huwa wanakupa option ya kurenew ila shart utoe vitu vya wizi sasa kama wao wezi wa domain why wakupe option ya kurenew

Kaa chini ufkirie na sio kukurupuka
 
Nna kablog kangu natumia .tk since 2oo9 hawajawai kuifunga na ni free, itakuwa ume violet rules za dot.tk au web host wako au mtu karepoti copyright infringment
 
Tafadhali tembelea www.rahaforums.tk kwa njia yoyote iwe mobile au computer. Kisha unipe mtazamo wako. Nimpya na yawezekana inamakosa. So utakuwa umenisaidia

Sija load hii site as niko kwenye mobile, loading new site will need to close this session first.
Nitaingalia after this reply, but a very first comment on it is about domain name as commented by others

Register .co.tz domain, this will help to attract more local users.
 
chief Mkwawa, tangu jana mpaka leo hakuna email niliyopata toka dot.tk na nimewatafuta kwa mbinu nyingi lakini wapo kimyaa
 
nimejaribu co.tv ila naona inazingua. Link haiko sawa
 
chief mkwawa. Mi naona ni bora nihamie kwenye paid domain. Godaddy wanatoa .info kwa 2.7$ Ila kama nikipata mmbongo atayenipa kwa bei yenye uwiano nitanunua
 
Na nawezaje kupata screen shot kwa mozilla (Nipe pindi hapo)?

hadi hapa unaonesha ulivyo shallow, ka hii hujui, web designing utafanya kweli? Soma sana kaka, usitengeneze sa hivi bado hujawa.... Kuhusu hilo swali bonyeza button kwenye ketboard yaho imeandikwa Print Screen.... hapo tyr umechukua screenshot ya page, paste unapotaka...
 
kijana, hilo nijaribu ila ikazingua
 
chief mkwawa. Mi naona ni bora nihamie kwenye paid domain. Godaddy wanatoa .info kwa 2.7$ Ila kama nikipata mmbongo atayenipa kwa bei yenye uwiano nitanunua
nimejaribu co.tv ila naona inazingua. Link haiko sawa

Are you serious on starting social network website? If so, I suggest opting something reasonable out of free hosting and domains.
No one will give you free server usage that can be used on commercial or any serious website. No server uptime can be guaranteed, no instant support you can depend on.

If you think it in a wise way, I can register a domain and host your database driven website for just Tsh 150,000 per year

This include script installation, full time support, auto daily backup.

Domains are: .co.tz, .com, .net, .org, .tv, .us
Niandikie alphonce@alphonce.net
 
alphonce, nipo serious. Ila kwa sasa nahitaji domain kwanza. Unajua lazma nicheki kwanza hali ya hewa. Nitashift to paid hosting kwa profit ya website. Kwa kipindi kifupi nilichokuwa na dot.tk sijapata faida kubwa. Ila naanza kuupgrade taratibu. So endapo utanisaidia bei ya .info nitaamua kati ya .info na .co.tz tuliyongea. Na baadae nitahamia kwako kuhost full
 
Iyo website ikoje bob? Nimefungua naona kameandikwa kuwa kipo suspended kutokana na abuse?
 
Hivi unajua maana ya page rank?

Sasa kama website ndani ya miezi mi 3 haijafikisha user 25 how come iwe na pagerank zaidi ya 0? Ok kama mimi nasema uongo naomba upload screenshot yako inayoonyesha hio page rank yako ambayo .tk wamekuibia

Au kwa kuelewa zaidi visit hapa

.::real WAP::.

Sikia chief, namtetea don, hii site yake ilikua ni test tu ya project yake na ndio maana akawauliza mnaionaje ili kama mkimpa moyo kwamba ni nzuri au afanye marekebisho gani ndio aipandishe rasmi. hii swala la kutengeneza demo kila mtu anafanya kabla ya kuingia gharama za kununua hosting,script na domain. na mara nyingi demo sites hua hazitembelewi mara kwa mara just mtu akiiangalia mara moja hua haitembei tena. thats why hakuweza kufikisha watu 25 a month. msiwe mnakurupuka kuwakatisha watu tamaa na nyie hamna chochote mlichowahi kujaribu kufanya. BIIIG UP DOONN
 
umewasoma walichoandika wote? au?
 
Back
Top Bottom