Hii website imekaaje wataalamu?

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Tafadhali tembelea www.rahatz.tk kwa njia yoyote iwe mobile au computer. Kisha unipe mtazamo wako. Nimpya na yawezekana inamakosa. So utakuwa umenisaidia
 
Iko poa man,kwa watumiaj wa kawaida iko poa,labda maexpert wataiona vingine,but mim nimefungua kwa simu na nimeinjoy
 
Dah... Hapo poa.. Kama vp jiregister tu kaka tulisongeshe gurudumu.
 
ni nzuri hata mie nimeitest..ila sijaona sehemu ya kudownload video BUT IT IS SO NICE..big up sana
 
Donn niaje?mbona leo nimeichek naambiwa imefungiwa coz of abusive usage..vp hapo?
 
In my views, una wazo zuri ila, tukianza na theme n customizations, logo umeweka kuuubwa afu sio transparent imeonekana amateur sana. Theme unayotumia ni free theme haionekani poa. Tukija kwenye content umechomoa idea humu jf.... kwa kuanzia ni hayo tu
 
hiyo domain ni ya bure. Jamaa wameifunga na wanatumia kupata wateja wao. Ndo maana ninasaka domain nyingine. Kunamuda inapatikana na muda inafungwa. Yote kwa kuwa ina rank kubwa katika google search
 
In my views, una wazo zuri ila, tukianza na theme n customizations, logo umeweka kuuubwa afu sio transparent imeonekana amateur sana. Theme unayotumia ni free theme haionekani poa. Tukija kwenye content umechomoa idea humu jf.... kwa kuanzia ni hayo tu

hapo kwenye content kama umecheki fresh hiyo imebase katika simulizi tu. Hizo board nyingine zipo kama ushahidi tu
 
siwezi weka virus ndugu... Wamenifungia kwa kuwa ni yabure na tayari nimeipa rank nzuri google. Ndomaana nasaka domain ya .com

Acha kuwadanganya wenzio .tk huwa hawafungi domain una tatizo na host wako thats why website sometime inakua offline sometime online.

Pia kuhusu rank site yako ina rank 0 katika google na 0 tena alexa rank sasa sidhan kama kuna mtu ana haja na site inayo score 0.
 
Bwana chief, dot.tk huwa wanafunga kama domain yako haijawa visited atleast 25 times per 3 months
 
unajua unaongea kama unajua kumbe hujui. Kama upo facebook sema nikuadd kwenye group la dot.tk ambassadors uone.
au andika google na usearch ''my dot.tkwas cancelled'' na uone majibu na mijadala ya watu. Sivyema kukurupuka kama hujui kitu. Na rank itaonekana vp wakati site haipo?
 
hiyo ni moja ya sababu ila jaribu kuangalia kwenye rules zao. Au search ''my dot.tk domain was cancelled'' na utaona mijadala. Huwa wanafunga endapo rank inapanda katika search engine. Wanaitumia kuweka matangazo yao na kupata wateja zaidi.
 
Acha kuwadanganya wenzio .tk huwa hawafungi domain una tatizo na host wako thats why website sometime inakua offline sometime online.

Pia kuhusu rank site yako ina rank 0 katika google na 0 tena alexa rank sasa sidhan kama kuna mtu ana haja na site inayo score 0.

sasa matatizo na host na dot.tk copyright vinahusiana nn?
 
unajua unaongea kama unajua kumbe hujui. Kama upo facebook sema nikuadd kwenye group la dot.tk ambassadors uone.
au andika google na usearch ''my dot.tkwas cancelled'' na uone majibu na mijadala ya watu. Sivyema kukurupuka kama hujui kitu. Na rank itaonekana vp wakati site haipo?

Hivi unajua maana ya page rank?

Sasa kama website ndani ya miezi mi 3 haijafikisha user 25 how come iwe na pagerank zaidi ya 0? Ok kama mimi nasema uongo naomba upload screenshot yako inayoonyesha hio page rank yako ambayo .tk wamekuibia

Au kwa kuelewa zaidi visit hapa

.::real WAP::.
 
Back
Top Bottom