hii wapi jamani?

MziziMkavu ukipatia .. utapewa ruhusa ya kuchagua mmoja!

Hawa haya ndio maisha yao ya kila siku! ... mpaka leo

Mkuu Dotworld kwa kuziona hizo wazi huenda mimi macho yangu yakapofuka maana nitakuwa kama vile chizi...... Uuuuwiii mamayake aliye mzaa bibi yangu .............. Waswahili husema Nzi kufia kwenye kidonda huwa ni halali yake............. Mkuu Dotworld ni wapi huko niende?
 
Last edited by a moderator:

Hao ni Chiquito kama sikosei. RED INDIANS wanaabudu jua.

Jamaa analinda mali zake kwa blow gun co? Hapana chezea mali zake! Inca tribe?
Wakuu Tram Almasi & MziziMkavu

Siwatajii kwanza ... nataka wajaribu watu wengi ... mwisho ntatoa majibu! ... kuwa hapo ni wapi! ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…