hii wapi jamani?

Wako hivyo ili kumtega mfalme kijogoo Makhoshetive Mswati achukue mmojawapo kuwa nkewe. Laiti hii ingekuwa inaruhusiwa Bongo Kikwete angewakomesha hata kama baadaye wangejilaumu baada ya afya zao kuwa ugogoro ukiachia mbali kusutana hapa na pale.Mila chafu hii.
 
Dah hawa watoto wazuri sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

...dah!...inaonekana uko hiyo bidhaa hainathamani kabisa...but ile kitu inaitwa bambataa el-maalufu wowowo nayo inaonekana maeneo hayo ni hadimu sana,siwezi sema ya kwamba hakuna kabisa,wanayo makalio yanayowawezesha kukaa tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…