Hii vita itaisha lini?

Wanaume wa Dar wametangaziwa Bilioni 1, Cha ajabu bado hawaonyeshi juhudi za kuchangamkia mshiko....
 
Mi navyoelewa kuhusu kuitwa mwanaume wa Dar si kwasababu tuu unakaa Dar bali mwanaume wa Dar ina maana ya mwanaume yoyote kokote nchini aliye na vijitabia na swaga za kike, Yaani Mambo yake ni Umama tupu, mfano Umbea, madeko, lifestyle na vyakula,mnaenda kula na demu wako wote mnaagiza chipsi, Dume zima kwny simu yake unakuta limejaza taarabu tupu,Dume zima linakutumia SMS' xafi' badala ya Safi huu ndo Umama wenyewe Tabia hizi ni nyingi sana kwa Wanaume walio Dar
 
😂😂😂😂
 
Wanaume wa Dar tunakaza roho, watu wametuamulia sababu tukienda mikoa yao tunajidai, tunabeba mabeibe wao yani manzi akisikia wewe kwenu ni Daslama "kama wanavyoipaitaga wa mikoani" wanazimika hatari...
 
kwa watu wanavoitumia na kumaanisha inakuwa ni dharau na kajeli yani huyo manzi hajamuheshimu jamaa yake..ndio wale wanaweza kutukana kabisa....
 


Unafikiri vyema, sasa wapo watu humu wanaishi mikoani kwa mashemeji zao, umri umewatupa then wanajiita wa mikoani
 
Wanaume wa Dar tunakaza roho, watu wametuamulia sababu tukienda mikoa yao tunajidai, tunabeba mabeibe wao yani manzi akisikia wewe kwenu ni Daslama "kama wanavyoipaitaga wa mikoani" wanazimika hatari...


Hhahahaah! Ukitongoza demu wa mikoani tayari anadhani ka-win life coz anajua Bongo hii hapa
 
kwa watu wanavoitumia na kumaanisha inakuwa ni dharau na kajeli yani huyo manzi hajamuheshimu jamaa yake..ndio wale wanaweza kutukana kabisa....


Kweli kabisa, wanaume tuishio Dar tunaheshima kubwa kwa taifa hili
 


Safi sana Mkuu kwa kuwaelewesha
 
Hahahah mkuu tunapigwa vita sana lakini mioyoni mwao wanaume wa mikoani wanatamani wangekua sisi


Mimi mchumba angu ananiambia nifanye yote lakini yeye anataka kuishi Dar. Ni mchaga yupo chuo nje ya nchi
 
Nimezungumzia wanaume wa mikoani wapi nimeashiria kutamani kua dada? Au ndo akili za wanaume wa mikoani hizo?
pengine swali nimeliwasilisha vibaya. samahan kwa hlo . umesema wanaume wa mkoani tunatamani tuwe Kama wanaume wa dar na Mimi nakuuliza swali je we ungetamani uwe na tabia Kama za kidada ? ni swali tu dogo .ni hayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…