GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,627
Wale walimu wa madrasa in wakatoriki?Wakatoliki huwa mnaleta chokochoko Sana pindi Rais akiwa Muislam,mna matatizo gani nyie walawiti wa watoto?
Halafu mbona swala la kuzika wakatoliki wanalikazia sana,,? Kwani hao mnowazika kikatoliki mna uhakika gani wanaenda peponi kwa kuwa tu mmewazika,,? Na hao mnaokataa kuwazika mna uhakika gani kuwa wanaenda jehanamu,,? Kanisa limekuwa na masharti mengi sana siku hizi mara sijui jumuia mara vipango Mara nini mara nini,, jumuia zenyewe sio jumuia zimejaa uzinzi tu na uasherati,,
Astaghafirurah...sema haki ya MunguHalafu mbona swala la kuzika wakatoliki wanalikazia sana,,? Kwani hao mnowazika kikatoliki mna uhakika gani wanaenda peponi kwa kuwa tu mmewazika,,? Na hao mnaokataa kuwazika mna uhakika gani kuwa wanaenda jehanamu,,? Kanisa limekuwa na masharti mengi sana siku hizi mara sijui jumuia mara vipango Mara nini mara nini,, jumuia zenyewe sio jumuia zimejaa uzinzi tu na uasherati,,
Wakatoliki huwa mnaleta chokochoko Sana pindi Rais akiwa Muislam,mna matatizo gani nyie walawiti wa watoto?
Wewe unaona sio ishu, ila wenyewe waliotengwa ndio wanaona ni ishu kubwa kwaoHalafu mbona swala la kuzika wakatoliki wanalikazia sana,,? Kwani hao mnowazika kikatoliki mna uhakika gani wanaenda peponi kwa kuwa tu mmewazika,,? Na hao mnaokataa kuwazika mna uhakika gani kuwa wanaenda jehanamu,,?
Mkuu hata kama ni uchawa kwa Rais Samia, usituhimu wakatoliki wote kwa machafu, heshimu imani ya wenzio,Wakatoliki huwa mnaleta chokochoko Sana pindi Rais akiwa Muislam,mna matatizo gani nyie walawiti wa watoto?
Kwani ni uongo kwamba Wakatoliki huwa mnaleta chokochoko pindi Rais akiwa Muislam?Mkuu hata kama ni uchawa kwa Rais Samia, usituhimu wakatoliki wote kwa machafu, heshimu imani ya wenzio,
Rais anaingieje hapa? Topic inasema kanisa katoliki Iringa na Mwamposa, acha kukurupuka mkuu,Kwani ni uongo kwamba Wakatoliki huwa mnaleta chokochoko pindi Rais akiwa Muislam?
Mbona huku Iringa niliko naona kuna Parokia mpya zinaanzishwa na baadhi ya makanisa yameongeza idadi ya Misa au wanasali mapadre peke yao?Ukiingia ktk makanisa ya roma sikuhiz unakuta mabenchi tu yapo wazi ibada hazina watu, nadhan wameamua kutumia ubabe na vitisho kwa waumini wao ili wasiende kutafuta huduma za Mungu sehem nyingine...
Kama unajiamini umemfundisha muumini wako vzuri kuhusu neno la Mungu kwanin umtishie asiende kwa wahubiri wengine..?
Ni kukosa akili tu, sikuhiz dunia sio kama ya enzi za akina Nyerere mambo mengi yamebadirika mtake msitake lazima madhehebu yabadirike ktk kufundisha neno la Mungu...
Sasa nyie ng'ang'anieni upuuzi end of the day mtabak na picha na masanam ktk majengo
Una uhakika kabisa hii Topiki yangu katika Mada hii inasema kama ulivyoandika na Kudanganya hapa?Rais anaingieje hapa? Topic inasema kanisa katoliki Iringa na Mwamposa, acha kukurupuka mkuu,
Kila mtu abaki na imani na utaratibu wake..ukiingilia ya wenzio hutayaelewaHalafu mbona swala la kuzika wakatoliki wanalikazia sana,,? Kwani hao mnowazika kikatoliki mna uhakika gani wanaenda peponi kwa kuwa tu mmewazika,,? Na hao mnaokataa kuwazika mna uhakika gani kuwa wanaenda jehanamu,,? Kanisa limekuwa na masharti mengi sana siku hizi mara sijui jumuia mara vipango Mara nini mara nini,, jumuia zenyewe sio jumuia zimejaa uzinzi tu na uasherati,,