Hii vipi jamani? Eti wenzangu!!??

Kama alikuwa anamaanisha wazamani utajuaje!!!Yawezekana Laligeni kuna jambo ulilofanya tofauti na nyuma ndipo akasema hivyo elewa pia ulimi hauna mfupa may be alitaka kumaanish kitu kingine, usihukumu kwanza jaribu kufikiria nawepi ulifanya kitendo gani ama kitu gani ulikifanya hadi akasema hayo maneno. Kabla ya kumchunguza jichunguze nawe pia!
 
Jamani huyu mwanamke mwenzetu vip tena mbona anaharibu eeeh hapa ameniacha hoi eeeh
 
kamanda hapo unamegewa, alafu mbaya zaidi, huyo mmegaji ni fundi kuliko wewe, kazi unayo mzee maana pamoja na kutoka kijasho na michubuko na nini lakini hujuhi kummega vizuri mkeo, pole sana kamanda, anza mchakato wa kutafuta mwningine
 
ushauri wa bure humu jamvini, ukiwa na mwenza wako acha maaibu ya ujinga muweke chini na kumuuliza sensitive part zake ziko wapi na anapenda akunjwe vipi na wewe pia inabidi uwe wazi pia kukwambia mwenza unachopenda,
kila mwanake/mwanaume anastaili yake hayo manguvu unayotumia kwa mwingine ni bonge la deal
kuuliza si ujinga
 
kamanda hapo unamegewa, alafu mbaya zaidi, huyo mmegaji ni fundi kuliko wewe, kazi unayo mzee maana pamoja na kutoka kijasho na michubuko na nini lakini hujuhi kummega vizuri mkeo, pole sana kamanda, anza mchakato wa kutafuta mwningine[/QUOTE]

no, jamaa hajasema hajui kummega mkewe, swala ni kwamba kuna namna mkewe anavyopendwa kumegwa, inabidi jamaa ajifunze anavyotaka mkewe na sio kutafuta mwingine, vp akatafuta mwingine ikawa the same thing?
 
mami hapo umenifurahisha..lol....cna comment hapa lakini ni huge turn off.

Ni kweli dada kimya kimya its a huge turn off but kama hujafikishwa kiasi cha kuanza kugumia si bora uwe kimya ajue tu kuwa bado hajakufikisha!

Maana napata picha huyu shosty mwenzetu si kwamba hakuwa amefikishwa bali hata mawazo yake yaliwezasafiri seriously hadi kwenye sijui movie zite au story za mashogaze kama si kulinganisha ujuzi, wakati mwenzie anachanja mbuga lol.

Umenikumbusha shogangu mmoja yeye alikuwa majamboni sasa akataka kumfurahisha shemeji akajifanya ndo kafika na sauti imekauka kwa mafeelings ikamtoka oh honey please nifeel mimi (hata sijui alikuwa anamanisha nini hapa) sasa ile feel ikasikika vibaya ........ alijuta!!

Mi kama hujanifikisha bwana nakaa kimya ujue tu kuwa sijafiki so uongeze bidii kazini la sivyo tutadiscuss ukimaliza!
 
Kaka jambo la msingi ni kfanya uchngz akinfu, uschukue uwamzi wa ghafra,inawezekana knam2 anaksaidia au ulimi ulitereza. Ila Huyo anatakiwa afanyiwe REVIEW OF LIFE.
 
Sio lazima kwamba ana mtu nje anayekuibia mana...Ni kwamba inategemea mlikuwa katika hali gani wakati huo!...Utakuta yeye alikuwa anakerwa na harufu ya kinywaji na ndo maana akaamua kukutania kihivyo...lakini kwa umri wake nina imani mambo hayo anayajua, na anaongea na wenzake, pia kisikutishe, nadhani unamuamini, ndo maana mko pamoja!
 
Mmmh kuna watu wana maushauri ya ajabu jamani
ila wewe labda siku hiyo ulitumia nguvu iliyopitiliza ikabidi uambiwe habari yako
 
Kaka jambo la msingi ni kfanya uchngz akinfu, uschukue uwamzi wa ghafra,inawezekana knam2 anaksaidia au ulimi ulitereza. Ila Huyo anatakiwa afanyiwe REVIEW OF LIFE.

Huyo hana tatizo hata moja kwenye mmewe alimkuta kigori labda hao wa huko nyumba walikuwa hawatumii nguvu kama wako kwenye WWE ,john Cena
 
Ni kweli dada kimya kimya its a huge turn off but kama hujafikishwa kiasi cha kuanza kugumia si bora uwe kimya ajue tu kuwa bado hajakufikisha!

Maana napata picha huyu shosty mwenzetu si kwamba hakuwa amefikishwa bali hata mawazo yake yaliwezasafiri seriously hadi kwenye sijui movie zite au story za mashogaze kama si kulinganisha ujuzi, wakati mwenzie anachanja mbuga lol.

Umenikumbusha shogangu mmoja yeye alikuwa majamboni sasa akataka kumfurahisha shemeji akajifanya ndo kafika na sauti imekauka kwa mafeelings ikamtoka oh honey please nifeel mimi (hata sijui alikuwa anamanisha nini hapa) sasa ile feel ikasikika vibaya ........ alijuta!!

Mi kama hujanifikisha bwana nakaa kimya ujue tu kuwa sijafiki so uongeze bidii kazini la sivyo tutadiscuss ukimaliza!

kwi kwi kwi wapwa bwana lol! mie wacha nende zangu.:D
 
kamanda hapo unamegewa, alafu mbaya zaidi, huyo mmegaji ni fundi kuliko wewe, kazi unayo mzee maana pamoja na kutoka kijasho na michubuko na nini lakini hujuhi kummega vizuri mkeo, pole sana kamanda, anza mchakato wa kutafuta mwningine[/QUOTE]

no, jamaa hajasema hajui kummega mkewe, swala ni kwamba kuna namna mkewe anavyopendwa kumegwa, inabidi jamaa ajifunze anavyotaka mkewe na sio kutafuta mwingine, vp akatafuta mwingine ikawa the same thing?

yaani hapo ni kuwa huyo my wife wake anacheat, na inaonekana bado yupo kwenye penzi pevu jipya, kwa hiyo hapo hakuna cha kujirekebisha wala nini? ni kupiga chini tu
na ikiwa ni the same thing unaacha tena
 
Hii inatuonya kuwa makini na kauli zetu,semeni mtakavyoweza lakini kauli kama hii inaleta uwalakini na inatia doa katika ndoa.Doa la mfano huu linaweza kugharimu ndoa kwani uchukua muda kufutika.
Pole mkuu,huo ndo ukubwa.HAPA BUSARA INATAKIWA KUTANGULIA JAZBA.
 
Ladyfst1 sjakuelewa vzri, unamaanisha hakmkta sealed? au unamaanisha nini
 
yaani hapo ni kuwa huyo my wife wake anacheat, na inaonekana bado yupo kwenye penzi pevu jipya, kwa hiyo hapo hakuna cha kujirekebisha wala nini? ni kupiga chini tu
na ikiwa ni the same thing unaacha tena

[Kupiga chini bila kjua nini tatzo ni sawa na bure, ukitaka kpambana kvita mpeleleze adui yako, fanya uchnguzi wa kmya kimya, kama ni ukweli utajulikana tu ila kama unahofia zaidi hebu jaribu kuacha kummega atleast a week hku upelelezi ukiendelea]
 
Back
Top Bottom