Hii video ndio inaongoza kutazamwa zaidi YouTube ikiwa na watazamaji (views) bilioni 8 na zaidi

kuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu

nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
 
China hakuna YouTube,
 
Ni korea kusini sio china.
 
kuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu

nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
Bro majibu yako yanaakisi uwezo wako wa kufikiri....ni hayo tu

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
kuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu

nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
China hawatumii youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…