Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,545
- 6,086
Inaitwa "baby shark dance" Nimeiangalia wala sijaona maajabu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanazipenda kweli kweliTunawekea watoto wetu,.mimi tu nilikuwa kwa siku namuwekea my toto hata mara 8,
SanaaaNa wanazipenda kweli kweli
kuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu
nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
Ni korea kusini sio china.kuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu
nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
Bro majibu yako yanaakisi uwezo wako wa kufikiri....ni hayo tukuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu
nilichobaini ni kua hicho ki video ni cha huko china so kwa idadi ya wachina pekee ambao ni robo ya dunia ndio wamekiangalia kwa kukirudia rudia mpaka views zikawa nyingi
cute eyesMe mwenyewe simalizi siku bila kukaangalia
Mbona Dogo wangu hana time nayo?Na wanazipenda kweli kweli
China hawatumii youtubekuna siku tulikua tunabishana na p ikabidi anioneshe nikabaki kucheka tu