Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,655 Nov 17, 2024 #21 Melancholic said: Pongezi zimuendee rais samia kwa kuwezesha internet kupatikana mpaka underground ahsante! Click to expand... Na pongezi hizi za ushindi ni maalumu kwa Rais Dkt.
Melancholic said: Pongezi zimuendee rais samia kwa kuwezesha internet kupatikana mpaka underground ahsante! Click to expand... Na pongezi hizi za ushindi ni maalumu kwa Rais Dkt.
G Gidamnyoda Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 110 Reaction score 216 Nov 17, 2024 #22 Dah! the man confront the fragility of life
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,765 Reaction score 50,855 Nov 17, 2024 #23 Pasta Joshua said: Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟♀️ Kuzaliwa Africa ni laana. Click to expand... Mungu awapiganie watanzania wenzetu
Pasta Joshua said: Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟♀️ Kuzaliwa Africa ni laana. Click to expand... Mungu awapiganie watanzania wenzetu
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,769 Reaction score 22,060 Nov 17, 2024 #24 Malaria 2 said: Acha chazba. Ulaya watu hujiuzulu japo mmoja Click to expand... Kwa hiyo akijiuzulu ndipo hao waliokwama kwenye vifusi watatoka kirahisi? Umehitimisha kuwa Africa imelaaniwa umetumia vigezo Gani!?
Malaria 2 said: Acha chazba. Ulaya watu hujiuzulu japo mmoja Click to expand... Kwa hiyo akijiuzulu ndipo hao waliokwama kwenye vifusi watatoka kirahisi? Umehitimisha kuwa Africa imelaaniwa umetumia vigezo Gani!?
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,353 Reaction score 5,723 Nov 17, 2024 #25 YESU ni mwema watatoka wazima Asante YESU
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,553 Reaction score 17,029 Nov 17, 2024 #26 Acha upumbavu.. Ajali hiyo...
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,771 Nov 17, 2024 #27 Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yacobo wasaidie watu hawa😭😭😭😭 Inauma sanaaa Dar huko ukiwa kibarazani tu unataka uweke feni sababu ya joto leo hii humo dah
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yacobo wasaidie watu hawa😭😭😭😭 Inauma sanaaa Dar huko ukiwa kibarazani tu unataka uweke feni sababu ya joto leo hii humo dah
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,259 Reaction score 16,182 Nov 17, 2024 #28 Mmeona siasa zinavyoamua maisha yetu,sasa ngojeni mfe ndio mtajua namna yakutumia uchaguzi kuamua au kutoamua Viongozi mnao wataka kwa kura.
Mmeona siasa zinavyoamua maisha yetu,sasa ngojeni mfe ndio mtajua namna yakutumia uchaguzi kuamua au kutoamua Viongozi mnao wataka kwa kura.