Hii video imeniacha hoii.... khaaa...

Mambo ya watumishi hayo
 
Aisee.. haya jamani wachumba haoo.. wakumwaaga..
 
Kuna mshikaji hapa anaitwa nebula nani sjui... Akafanye ibada huko..
 
Inaonekana huyu mtumishi ndoa yake ina nguvu kweli kweli mpaka anawapa upako wenzake waolewe
 
Wanachagua sana,wanataka wanaume wenye mafanikio bila kujua mafanikio yanatafutwa.
 
Kisulisuli huohuo unapeperusha waume za watu vyumbani kuja kuchukua hao....

Kisulisuli huohuo umepeperusha wachumba za watu na wake walioachika kusubiria waume wapya waje wawaoe....

Yaani mie sumu niliyonayo juu ya ndoa, acha nibaki kimya. Kila la kheri wenye kuiendea.
 
Punguza sumu hizo Matata, utakuja kujuta bure.....shauri yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…