Hii umeigundua kwako?

Habari za maisha JF!
Nimegundua ukitoa pesa unaweza kupata zingine kwa wepesi zaidi & vice versa.
Wewe umeligundua hili?
Haihitaji imani zaidi....ni utafiti tu!
Nawasilisha!

Aisee wewe ni kichwa ile mbaya utakuwa professor au dr. Sasa nimeamini ndio maana mafisadi mambo yao safi kwa vile wanatoa makanisani na misikitini.Na kwa yeyote ambaye ni kibaraka wao
 
nikitumia haraka napata haraka.
Waambie wadau watafute kitabu kinaitwa secret.
Waelewe vizuri secret to money ilivyo.

Kinapatikana wapi?
Maana maduka ya vitabu ni mengi.
Mdau mwingine ameuliza mtunzi ni nani?
 
Kinapatikana wapi?
Maana maduka ya vitabu ni mengi.
Mdau mwingine ameuliza mtunzi ni nani?

nenda novel idea pale shopperz plaza au popote penye maduka ya novel idea.
Nimemsahau mtunzi ila ukifungua contents
utakuta kuna secret to money, secret to health, secret to world.,. Etc. Ni kadogo dogo hivi.
 
Nikitoa kwa moyo mweupe, nikkampa mwenye uhitaji wa kweli na shida ya maana NAPATA FAIDA
Nikitoa kwa kujionesha, au kugawa pesa ovyo kwa watu "wasio na shida za maana" NAPATA HASARA

Hiyo ni eksipiriensi yangu!
 
Back
Top Bottom