Hii tweet ya World Bank Tanzania unaweza fikiri kuwa ni fake

Bring your alternative.
Read this Sir.
With this flawed attribute of GDP, why on earth are we cheating ourselves! I am not the economist, but I pose to you/economic experts a constrative provocation while aiming to revitalize your critical thinking about the reality.

I wonder, why some of our local economists are not interested in seeking the alternative index, which reflects real economy of our country in this modern times! Instead, they (those some), are pressuring a "bush economist", to give them an alternative of the flawed GDP index!!
 
Mtaongea yote
 
Yote hayo unaweza fanya kwa kutumia pesa za kuuza madini au raw materials zingine ambazo chanzo chake sio watu wa kawaida,maisha ya watu yatazidi kuwa mabaya tuu.

Pili hivyo vitu vinaonekana vingi kwa sababu ya propaganda na mapambio,lakini uwiano wa mahitaji na kinachofanywa ni vitu tofauti
 
Kwahiyo? Mimi cha msingi kwangu ni kwamba nikienda bar bia bado zipo na warembo wa kila aina bado wanapatikana, hayo mengine nawaachia nyinyi
Ww na hao warembo wako na pombe zako. Tuone kama utafanya mambo ya maana na ya mafanikio kama kuanzisha biashara kubwa nk.
 
Seconded... But much as we do not have in place for now alternative means of calculating/estimating our economic output, existing theory counts and must be respected.

It is upon our local economist or proponent of "magufulinomic" theory to come up with alternative means of estimating our economic size.
 
It's foolhardy to even try to expect any good news from your formidable foe.

..World Bank sio maadui wa Tanzania.

..WB ndio wametoa mkopo wa SGR ya Isaka--Rusumo.

..WB pia wamesaini kutoa mkopo mkubwa kuboresha sekta ya ELIMU.
 
Mkuu umeandika vyema ngoja nikukumbushe hiki ukionacho matakwimu ya uongo ndio sifa kubwa sana ya watawala & viongozi huwa hawanaga hizo tabia kwasababu hujuwa maisha na kipato halisi toka kwa wanao waongoza
 
Mkuu. Usiniangushe mkuu wangu. Wadada hawaishi. Wapo tu. Na pombe kwa sana sana ina madhara.
Nitajie kitu kimoja hapa duniani ambacho hakina madhara, kimoja tu. Kuwa wadada hawaishi hiyo ndio muhimu kwangu, mengine nawaachia nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…