Hii tweet ya World Bank Tanzania unaweza fikiri kuwa ni fake

Bring your alternative.
Read this Sir.
In poor countries, the informal sector is practically invisible to GDP. Yet in much of the world, the informal economy counts for most. Monitoring economic activity from space, through satellite images of nightlights, might be more accurate than on-the-ground GDP, academic studies have found.
With this flawed attribute of GDP, why on earth are we cheating ourselves! I am not the economist, but I pose to you/economic experts a constrative provocation while aiming to revitalize your critical thinking about the reality.

I wonder, why some of our local economists are not interested in seeking the alternative index, which reflects real economy of our country in this modern times! Instead, they (those some), are pressuring a "bush economist", to give them an alternative of the flawed GDP index!!
 
Chapeni kazi. Hiii ni Vita ya kiuchumi
EvcfUq3XIAIn2pV.jpg
 
Ndio maana ikasemwa kuwa GDP is not a reliable index to measure economic developments, it rather shows the growth in material things regardless of who finally benefits. Kuna nadharia nyingi za ukuaji wa uchumi na zote zina strength na weakness zake.

Ndio maana umoja wa mataifa uliibua njia mbadala kama vile poverty index kwa kuwa vina akisi mabadiliko ya kiuchumi ya mtu mmoja mmoja.

Hivyo Kwa maoni yangu aliyesema GDP sio reliable indicator yuko sahihi kabisa. Tuelewe kitu kimoja, GDP inatumika na Wb na IMF sana sana Lkn mashirika mengi ya UN hutumia index zingine hasa poverty index (gin coefficient kama mtakumbuka) .

Kwa kawaida inawezekana GDP kushuka wakati maisha ya watu yanaimarika zaidi na inawezekana maisha kuwa magumu ilihali GDP Inapanda, which is a case in our Country. Pia, GDP inahesabu malipo kwa kampuni za nje kama za wachina, yepi merkezi, waarabu wa Stigler gorge n.k kama sehemu ya mapato kwa wananchi. Ilihali zile fedha hupelekwa kwenye Nchi zao.

Na kama mjadala huu juu ya GDP mtaungizia siasa, then hautakuwa na hitimisho la maana. Kwa maana ya kuwa GDP ni standard ya WB na IMF. Na taasisi hizi zimeziagiza Nchi zote kutumia standard ya index hiyo.

Mwisho :Kwenye hili lazima wachangiaji tukubali kutokukubaliana. Lakini ukweli utabaki kuwa GDP does not define National economic performances or prosperity if one insist on using it be it a leader or a common person then should consider himself or herself outdated. And there are more than one method to measure economic performance or prosperity of the country. Let's do the homework to learn which one are the other method and which one is the best. Whatever conclusion you come up with in this matter know that it is subjective to your intellect, knowledge, and preferences.

Samahani kwa kuchangia lugha.
Mtaongea yote
 
Mimi siamini kivipi yaani mi sgr inajengwa tena inakaribia kuisha, mbwawa kule unajengwa mavitu kibao yanayomaliza pesa yapo yanjengwa eeeh vivuko, madaraja, mashule, mahospitali, flyovers, miradi ya maji kila sehemu tunaona, masoko na stand za kisasa, mi mbona siwaelewi tena nimesahau mandege kibao yametua nchini, bado tena kuhamisha ikulu na watumishi wake 17000 toka dar to dom,,, kwa vyovyote hakuna ambae hawezi kufilisika, tena ni afadhari huyu wizi hauonekani, huyu vitu vinaonekana ila pesa haionekani
Yote hayo unaweza fanya kwa kutumia pesa za kuuza madini au raw materials zingine ambazo chanzo chake sio watu wa kawaida,maisha ya watu yatazidi kuwa mabaya tuu.

Pili hivyo vitu vinaonekana vingi kwa sababu ya propaganda na mapambio,lakini uwiano wa mahitaji na kinachofanywa ni vitu tofauti
 
Kwahiyo? Mimi cha msingi kwangu ni kwamba nikienda bar bia bado zipo na warembo wa kila aina bado wanapatikana, hayo mengine nawaachia nyinyi
Ww na hao warembo wako na pombe zako. Tuone kama utafanya mambo ya maana na ya mafanikio kama kuanzisha biashara kubwa nk.
 
Read this Sir.

With this flawed attribute of GDP, why on earth are we cheating ourselves! I am not the economist, but I pose to you/economic experts a constrative provocation while aiming to revitalize your critical thinking about the reality.

I wonder, why some of our local economists are not interested in seeking the alternative index, which reflects real economy of our country in this modern times! Instead, they (those some), are pressuring a "bush economist", to give them an alternative of the flawed GDP index!!
Seconded... But much as we do not have in place for now alternative means of calculating/estimating our economic output, existing theory counts and must be respected.

It is upon our local economist or proponent of "magufulinomic" theory to come up with alternative means of estimating our economic size.
 
Yule mzee huwa anajisikia raha ya kipekee akiwa kwenye hotuba zake huku akisoma hicho kipengele cha pato la Taifa kukua kwenye makaratasi kutoka 7.3% mwaka gani sijui mpaka 7.8 mwaka gani sijui, huku wananchi anao wahutubia wakiwa wanapiga tu miayu ya njaa na uchovu wa maisha magumu!

Inashangaza kuwaona Watawala wetu wakijisifia uchumi kukua kwa kasi huku sekta zinazo ukuza huo uchumi zikiwa ni sekta za madini, fedha, miundombinu, nk. Ambazo kimsingi haziwagusi moja kwa moja wananchi walio wengi. Sijawahi kusomea uchumi wa darasani, ila huwa naona wanasiasa wetu huwa wanatudanganya sana kupitia hizi takwimu zao.
Mkuu umeandika vyema ngoja nikukumbushe hiki ukionacho matakwimu ya uongo ndio sifa kubwa sana ya watawala & viongozi huwa hawanaga hizo tabia kwasababu hujuwa maisha na kipato halisi toka kwa wanao waongoza
 
Mkuu. Usiniangushe mkuu wangu. Wadada hawaishi. Wapo tu. Na pombe kwa sana sana ina madhara.
Nitajie kitu kimoja hapa duniani ambacho hakina madhara, kimoja tu. Kuwa wadada hawaishi hiyo ndio muhimu kwangu, mengine nawaachia nyinyi.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom