donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Sio iokote?Hiyo inaitwa jibebebe ooooh jibebebe
Sio iokote?Hiyo inaitwa jibebebe ooooh jibebebe
Dunia duara mama eeeh, aeeeehNaukumbuka enzi izoo
Dunia duara mama eeeh, aeeeeh
Mabio ya jioni yana raha yakeMabio na chenja hizi kitu zilikua zinanipa morali sana
We zaina zaina, mtoto wakitanga, nitakupa pesa zaina lete raha zainaaaZaina zaina,
Zaina mtoto zaina, mtoto wa kitanga zaina lete rahaaa zaina ukimuona zaina mwambie nampendaaaaaaa zaina
Hiyo inaitwa jibebebe ooooh jibebebe
HahahaNilitaka kuandika hivoo hivoo.... jibeebeebee si ujibebebeebee...
Umo umo mkuu nilikuwa najaribu kulikumbuka vizuri likawa haliji kila nikikumbuka nakumbuka hilo kandam kumbe ni TANDAM exactlySio tandam?
Matundu ya risasi ukutaniTunaita "matundu matatu ukutani"
We zaina zaina, mtoto wakitanga, nitakupa pesa zaina lete raha zainaaa
Heee?Tunaita "matundu matatu ukutani"
Mooto wa yaka motoo,mooto wa yakaUkimwona zaina, zaina mwambie nampenda ziana lete raha zaina